Haniridhishi jamani

Anna pita

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
227
425
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
 
kama anakunywa mwambie anywe sminorf moja na redbul utauona mziki wake atachukua kama 30min hivi
 
Hahahaaaaaa! Punguza woga! I naonekana mtoto MTAMU SANA WEWE!!!!! Hiyo ni sababu KIPYA HAKINYEMI!!!! Akikuzoea itaishaaaa yenyewe!!!! Ingekuwa umemkuta ANAKIBAMIA KIDOGO hapo kweli, manake nothing could be repaired!!!!!!! LOL!

Huo ni usongo tu alikokuwa nao ndo uilomponza.
 
Jamani, kwanini umefanya mapenzi nje ya ndoa?
Mpe nafasi nyingine utaona atakavyo kusukumia moto hadi upige NDURU

Bujibuji swali umeuliza vizuri tena kwa mshangao kama na wewe ni Shekhe au mchungaji....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa! Punguza woga! I naonekana mtoto MTAMU SANA WEWE!!!!! Hiyo ni sababu KIPYA HAKINYEMI!!!! Akikuzoea itaishaaaa yenyewe!!!! Ingekuwa umemkuta ANAKIBAMIA KIDOGO hapo kweli, manake nothing could be repaired!!!!!!! LOL!

Huo ni usongo tu alikokuwa nao ndo uilomponza.

I was thinking in the same line!
 
Hali ya kawaida kwa beginners atafute ushauri kwa wataalam mfadhaiko huo utaisha! Wengi huanza hivyo nina marafiki zangu wengi walikuwa na tatizo kama hilo incl mimi leo hii i can stay for 45 min. Ni pm kama nahitaji ushauri zaidi.
Huduma hii ni kwa wanandoa tu.........!
 
Inaonekana ulikuwa unam-bania,km vp mpe mzigo mfululizo km wiki 2 hivi,ukiona badö anazingua uje kwa ushauri zaidi,
 
kama anakunywa mwambie anywe sminorf moja na redbul utauona mziki wake atachukua kama 30min hivi

Hupitwiiii!!!! Hii kitu ya SMINORF UKIMIX NA AMARULA NASIKIA INAKUWA MATATA SANAAA!! JUZI KATI NILIKUWA A TOWN NDO NIKAKUTA NDO HABARI YA MUJINI KWA SASA HUKO!!! LOL!

Bado najipanga kuijaribu manake waliokuwa wanatengeneza hiyo chemical reaction ya CONCO SULPHIRIC ACID NA KUSHOOT DOUBLE DOBLE NI MICONCORD YA POMBE!!! Ila iligeuka nyonde nyonde Nimeogopa KUTAPIKA MAINI!!!!

Bado niko maabara najiandaa kutest! Mama nisipitwe siwezi kupitwa! LOL!
 
Inaonekana ulikuwa unam-bania,km vp mpe mzigo mfululizo km wiki 2 hivi,ukiona badö anazingua uje kwa ushauri zaidi,

nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom