Hanilizishi kwa lolote nifanyeje?

ukome wenzio huwa wanaridhika kwanza kabla hawajabebana,inaelekea wewe na mwenzio mlibebana kwanza kabla ya kujihakikishia nq kuridhika kama anatick vigezo vyote kwenye checklist yako.....shaurilo umelikoroga sasa linywe......

1,mchukulie mkeo kama binadamu sio object/toy la kukustarehesha na kukufurahisha tu.....

1.acha kugonga nje,in that way you will stop making comparison kati ya mkeo na vimada wengine....

1.mume ni mtu,binadamu tu kama wengine sio mfalme wa kutumikisha mwanamke/wengine...badilisha kwanza haya mawazo.....

1.saidia kazi za nyumbani,watoto...mtoe mkeo for dinner/shopping....naye atamake 'efforts' 'kukuridhisha.........mnh

akisema yote hayo anafanya utamshauri ni zaidi ya hayo?
 
Nimekuwa nikipata taabu kwa muda mrefu kwani mke wangu hanilizishi kabisa, na wazazi wangu hawataki nimuache nisaidieni wanaJF

Nenda kashtaki kwa aliyemfunda, unapokuja kutueleza hapa JF kwani sisi ndio tulimfania kicheni pati?
 
Back
Top Bottom