Hanilizishi kwa lolote nifanyeje?

Omiumeme

New Member
Nov 5, 2011
1
0
Nimekuwa nikipata taabu kwa muda mrefu kwani mke wangu hanilizishi kabisa, na wazazi wangu hawataki nimuache nisaidieni wanaJF
 
duh! aibu
sasa mie naona kwanza wewe you are not being true to urself...upo kupendezesha wazazi.
wazazi wameona mengi na ni muhimu kupata muongozo wao lakini wao ni wanadamu na wanaweza kukosea

ila kwanza ngoja niseme kuwa kama imefikia kuwa hakuridhishi basi wewe lazima ubebe lawama ya kuwa ulifanya uchaguzi mbaya.
baada ya hapo sasa mie naona sio haki kukaa kwenye nyumba ambayo mwsho wa siku wewe huna furaha na pia hii itaelekea mpaka kwa mke na watoto kama unao.....sasa paki vilago vyako ila angalizo ni kwanba muachane kistaarabu na hapa ndugu yangu kama kweli wewe mwanaume naomba kabisa ukubali kuwa mama apate nusu ya mali zako, na pia watoto watakaa kwake...hilo jiandae kabisa becoz wewe ndio ulimuoa na hivyo uamuzi wako mbaya lazima uwe tayari kuulipia.

kazi ni kwako!!!!
 
Acha hizo huyu mke ulitafutiwa au!kuwa mkweli ili tukusaidie kijana usije ukapotea
 
Haya hata kama umelazimishwa na wazazi je unampenda ukiachana na hlo swala hakuridhishi.
 
we acha mbwembwe.yani anakua mpaka mke unada bado hakuridhishi?kwanza hakuridhishi ktk nini?be specific?
 
We jamaa mbona hujawa muwazi? Ukute wewe unataka kila saa kama kuku au unataka kumkameruni mwenzio sasa hebu sema nini hasa tatizo sio umekurupuka na taulo lako unakuja jamvini humu kutaka ushauri wa chumbani kwenu. Dume zima mke hakuridhishi unakuja kutuambia, ndio ukiona watu wan nyumba ndogo mnajifanya hampendi zile zinasaidia hat usingekuja humu jamvini.
 
Jf never boring
Mke hamridhishi na anataka kumuacha na anawasikiliza wazazi wake kuhusu mke
Je aliwaolea wazazi wake au alioa kwa sababu yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom