Handsome, Smiling, superstar kikwete

Watanzania tulio wengi ni kama Misukule, tunatumikishwa na Mafisadi ila hatuna cha kufanya-eti amani. Acha tutumikiswe mpaka hatua ya mwisho kabisa ndio tutapata akili kwamba tulichukuliwa akili. Hata Somalia ikitulia itatupita kiuchumi. Rwanda ilikua vitani tukaisadia kupata amani leo intushinda ki uchumi. Kweli Watanzania tumewezwa ki-ufaham.
 
Eti tunataka amani na utulivu wakati nchi inaliwa na wachache, hakuna haki, wananchi wasio na hatia wanauwawa kikatili wakidai ni bahati mbaya na hayo wanaongea kwa wahisani sio walio wachagua, wengine wanasema tiini mamlaka iliyo toka kwa mungu wakati walichakachua kura, lakini watanzania tunataka amani na utulivu hali tukiendelea kuwa masikini wa kutupwa. Vitabu vitakatifu vya mungu vinatumika kuhalalisha maovu, wananchi tunataka amani na utulivu. Ni wakati sasa wananchi tufikirie zaidi ya hapo, zaidi ya amani na utulivu ili mafisadi wa CCM wasiendelee kutumia slogan hii kuendelea kututawala (sio kutuongoza) kwa mabavu na kutunyonya!!
 
Back
Top Bottom