Handsome hadi uzeeni.

wala sijakasirika bwana najua watanzania wenye majungu si na ww mmoja wa watanzania?kidding gud dei
watanzania kwa majungu tu hatujambo,
una tumesha anza kuijungulize picha ya babu wa watu...
Sijui bujibuji wakati anaanzisha hii thread alikuwa anajuwa kuwa itageuka na kuwa ya majungu?
Just a joke....usikasirike dada
 
hata sijui habu niambia shost asije kuwa chinja chinja ( mungiki)
Hiyo si kweli kabisa, kama kuchinja itakuwa ni ng'ombe tu kwa ajili ya raha zako na ndugu zangu watakoa nuna pole zao mapeema anything for you ukiamua .

Mimi Kwako kama lile ballad la the late MJ nephews 3T, ill do anything for
you.
 
Back
Top Bottom