Handsome hadi uzeeni.

Mandela+Day+Gala+Dinner+Outside+Arrivals+4qT73dQ9ucbm.jpg
huyu shosti nae bombaa!
 
Love is in the air between FL1 na Handsomeboy doh

Shosti FL1 hebu fanya hima sie tufungishe ndoa ya pili hapa JF ye Geoff ishakamilika ati
 
halikuwa kama mimi maneno yangu ujue ushindi mwisho

mmh kwenye red ukanipotosha wa nyumbani duh!!! (i had to use xtre calories)

dunia ya leo inabidi ujinade mwenyewe najiita, hila nina sumaku ya kuvuta wanavyodai.

kama ungejua FL1 wewe ndio sababu ya mi kujiunga humu ndani unauvutio fulani fulani hivi na maneno yako. hiyo avatar yako na hisi aiko tofauti na chombo chenyewe if not better.

mmh

Haya mrembo hila taratibu usijiunguze, mi wewe niiite chochote niweza kufika karibu yako (joke) kwi kwi kwi.

Hila unavutia sana we huji tu, sisi wengine ndio tunao umia FL1 kweli kabisa hiyo.

mmh!!

Bahati hiyo ningeipata ya kumtoa dinner mbona ningeringa sana masai mie. Si unaona anajiita FL1 ujue ni daraja la juu hilo. Kama ni timu ya mpira owner billionaire inalipa mwisho wa siku.

Hila kwa akiba ya maneno angenipa hiyo nafasi aje yeye tu na tumbo tupu mimi ntamalize mengine ale, anywe, acheze, afurahi mengine yatakua maamuzi yake im a gent unajua.

bluu ukapatia, red no ukaendeleza filler word yako!!!
 
Back
Top Bottom