Mndundu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 233
- 34
Hili ni handaki ambalo juu yake inapita reli ya TAZARA na chini wananchi wapita kwa miguu.
Lipo Makambako Iringa, ikiwa mchina aliweza kutengeneza kitu kama hiki miaka hiyo na hadi leo kipo imara, mainjinia wetu wa barabara kwanini wasitujengee kitu kama hiki kwenye makutano ya barabara mbili kupunguza msongamano wa foleni?