Hamna ....mapenzi...siku hizi....

Dear unajua tatizo la mtu ni vile anavolichukulia kuwa ni tatizo, haya ndiyp maisha tuliyonayo, huwezi kuyakwepa, iwe ni ofisini au majumbani tulikopanga hakuna penye afadhali, na biblia inasema hivi kila palipo na dhihirisho la watu 10 hapo lazima pepo mchafu yupo.

hata kama tukikwazana ukinatungia thread mpya, mm hainijalishi, hainitishi, wala hainibabaishi kwa kuwa hakuna mwanadamu anayeweza kukufurahisha hata siku moja!!! cha msingi mtu atizame maisha yake na Mungu wake tu, inatosha.
well presented
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom