Hamna ma PROMOTER wa vitabu??

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Salamu jf. Imekuwa kawaida kwa wasanii wa fani ya muziki kuwa promoted na kwa njia hiyo fani hiyo inazidi kupanuka sana! Mimi napenda kuuliza,hivi hamna promoters kwa upande wa fani ya UANDISHI? Nina maana ya fasihi andishi.....
Mimi nina vitabu kadhaa nimeviandaa lakini siwezi kumudu gharama za uchapaji,naamini vikichapwa vitaingia sokoni kwa nguvu.
Hebu nisaidieni kama wapo nawahitaji,tuwasiliane hapa hadharani au kwa PM.
 
Wanaitwa publishers hao watu, unawapelekea kitabu chako, wakikikubali mnaingia mkataba wa kukichapisha, either wanakulipa up front au mnagawana mapato in some way inategemea na makubaliano.
 
Wanaitwa publishers hao watu, unawapelekea kitabu chako, wakikikubali mnaingia mkataba wa kukichapisha, either wanakulipa up front au mnagawana mapato in some way inategemea na makubaliano.

KWA SASA nipo hapa Dar, hao publishers ni kama wapi au ndo kama wale Global publishers nk?
 
Ndugu kuna watu wanaitwa soma angalia soma.or.tz wako mtaa wa mlingotini kituo cha basi kinaitwa makochi kama unaenda mwenge , ukifika pale unaweza kuonana na omar ataweza kukusaidia sana hata hivyo kila ijumaa tunakuwaga na waandishi na watunzi mbali mbali ambao huja kuonyesha kazi zao na kueleza kidogo

karibu sana msee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom