Hamisi Kigwangalah atoa shutuma dhidi ya Bashe

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Haya ni maneno ya mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangalah aliyosema katika ukurasa wake wa facebook.

"Kuna mtu mmoja anahangaika jimboni
Nzega sasa hivi eti anazuia watu
wasilime pamba kwa kuwa Mbunge
amehamasisha kilimo hicho na watu
sasa wameitikia vizuri, na yeye
anaogopa wanavyozidi kuongezeka kwa kasi atashindwa kuniangusha
kirahisi 2015! Siasa za kipumbavu
namna hii hazitomsaidia, atamaliza hela
zake bure. Badala ya kuwasaidia
wazazi wake na ndugu zake anapita
akigawa pesa hovyo. Badala hata ya kujenga nyumba anapita akigawa pesa
na ahadi! Badala aanze kurekebisha
utata uliogubika uraia wake
anahangaika kuanza kampeni mapema
hii akipika pilau na nyama!"
 
Kwanini asimtaje? Yeye kama anachofanya ni kizuri atadumu!! Haya mambo ya kulia lia hayana maana!!!
 
Ivi kigwangala ni nani?maana kila siku kigwa kigwa adi sasa kalifanyia nini taifa na hasa wana nzega zaidi ya kuwa kila siku analalamika juu ya rafu za kisiasa ivi ajui alipoingia katika siasa hatakumbana na nini au alifikiri ni kama alivyokuwa anafatwa tu na wagonjwa.aache upuuzi wake bwana atimeze aadi zake 2015 sio mbali.
 
Kwanini asimtaje? Yeye kama anachofanya ni kizuri atadumu!! Haya mambo ya kulia lia hayana maana!!!
nyunyu mbona kesha mtaja kwamba akatafute uraia sio lazima atamke jina kama ni great thinker utaelewa tu,,,,kwangu mimi wao ni wote magamba kwanini wasijipange? inamaana kila siku magamba kuwa na migogoro hizo ni dalili za kukosa viongozi thabiti ndani ya magambaz
 
..bashe kuwa kiongozi!? inashangaza watu wa nzega hawajajifunza bado, mji mzuri, well located nilitarajia watatumia nafasi hii kushirikiana na kigwangalla kuibadilisha nzega..kumbe bado wako gizani! nani aliwahi kuona msomali anakuwa kiongozi..! wapi? be it at regional level or at the global level..they r not civilized n thy will NOT! bashe hawezi kuwa kiongozi kwny chama chenye mwelekeo na kinachotumikia watu!, ni vile tu ccm ni mufilisi! afanye biashara tu labda asipoteze muda na fedha zake bure!
 
acha maneno ya kibaguzi,bashe ni mtanzania amezaliwa hapa na kukulia hapa na anafanya kazi hapa analipa kodi tofauti na ndugu zetu waliojilipua huko ughaibuni hawachangii chochote kwa maendeleo ya nchi yetu,na sasa wanataka uraia wa nchi mbili.
 
Haya ni maneno ya mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangalah aliyosema katika ukurasa wake wa facebook.

"Kuna mtu mmoja anahangaika jimboni
Nzega sasa hivi eti anazuia watu
wasilime pamba kwa kuwa Mbunge
amehamasisha kilimo hicho na watu
sasa wameitikia vizuri, na yeye
anaogopa wanavyozidi kuongezeka kwa kasi atashindwa kuniangusha
kirahisi 2015!
Siasa za kipumbavu
namna hii hazitomsaidia, atamaliza hela
zake bure. Badala ya kuwasaidia
wazazi wake na ndugu zake anapita
akigawa pesa hovyo. Badala hata ya kujenga nyumba anapita akigawa pesa
na ahadi! Badala aanze kurekebisha
utata uliogubika uraia wake
anahangaika kuanza kampeni mapema
hii akipika pilau na nyama!"
......penye red (kumbe unajua atakuangusha japo sio kirahisi sasa kelele za nini), penye blue (kwanza siamini kama mbunge mwakilishi wa wananchi anaweza akawa na hoja feki kama hii, hata hivyo kuhusu hili la uraia hawa hawachekani, sijui kigwangala amepata wapi ujasiri wa kumnyoshea kidole mwenzake...ma-ccm bwana !)
 
Napenda sana siasa maana napata vitu vingi toka humo kama vile kujua tabia ya mtu na uwezo wake wa kuhimili mikiki mikiki ya maisha,hapa unaweza kuona ni namana gani watu walivyo waoga hasa linapokuja suala la nafasi ambayo mtu ameikalia na kila mtu anayo haki ya kuipata,kinachonishangaza ni kuona mtu anatishia kutoka wakati huo huo analalamika nafasi yake kuguswa.
Uoga mtupu na kukosa msimamo,kama anagawa naye akagawe kama anaona inamsaidia na kama haimsaidii basi akae kimya tu na atafute namna yake nyingine ya kushinda hiyi 2015.
 
..bashe kuwa kiongozi!? inashangaza watu wa nzega hawajajifunza bado, mji mzuri, well located nilitarajia watatumia nafasi hii kushirikiana na kigwangalla kuibadilisha nzega..kumbe bado wako gizani! nani aliwahi kuona msomali anakuwa kiongozi..! wapi? be it at regional level or at the global level..they r not civilized n thy will NOT! bashe hawezi kuwa kiongozi kwny chama chenye mwelekeo na kinachotumikia watu!, ni vile tu ccm ni mufilisi! afanye biashara tu labda asipoteze muda na fedha zake bure!

Hahahaaaaa..... hivi Abdulrahman Kinana ni raia wa wapi vile?
 
Napenda sana siasa maana napata vitu vingi toka humo kama vile kujua tabia ya mtu na uwezo wake wa kuhimili mikiki mikiki ya maisha,hapa unaweza kuona ni namana gani watu walivyo waoga hasa linapokuja suala la nafasi ambayo mtu ameikalia na kila mtu anayo haki ya kuipata,kinachonishangaza ni kuona mtu anatishia kutoka wakati huo huo analalamika nafasi yake kuguswa.
Uoga mtupu na kukosa msimamo,kama anagawa naye akagawe kama anaona inamsaidia na kama haimsaidii basi akae kimya tu na atafute namna yake nyingine ya kushinda hiyi 2015.

Pricisely, after all hakuna mwenye haki miliki na jimbo!
 
BASHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE NJOO HAPA UJIBU SHUTUMA ZAKO,INA MAANA HELA ZOTE ULIZOPEWA NA ULIZOACHIWA NA ROSTAM NAPIKIA WATU PILAU EEEH HAHAHAAAaaaaaaaaa

JIBU BANA,KAMA ANAMWAGA MBOGA WEWE MWAGA UGALI SISIMIZI WALE
 
wacha alalamike hata yeye aliingia kwa hila sana, amebebwa na sasa anaogopa ushindani kwa wenzake, yeye ni miongoni mwa wapingaji wakubwa wa harakati za mabadiliko yanayo ongozwa na CDM na sasa yanamkuta yeye hapo ndio atajua kuwa watu hawapigi kelele ila wanatafuta ufumbuzi wa matatizo ya kudumu na ushindani wa usawa na sio wa kubebwa au kubebana
 
Haya ni maneno ya mbunge wa Nzega Hamisi Kigwangalah aliyosema katika ukurasa wake wa facebook.

"Kuna mtu mmoja anahangaika jimboni
Nzega sasa hivi eti anazuia watu
wasilime pamba kwa kuwa Mbunge
amehamasisha kilimo hicho na watu
sasa wameitikia vizuri, na yeye
anaogopa wanavyozidi kuongezeka kwa kasi atashindwa kuniangusha
kirahisi 2015! Siasa za kipumbavu
namna hii hazitomsaidia, atamaliza hela
zake bure. Badala ya kuwasaidia
wazazi wake na ndugu zake anapita
akigawa pesa hovyo. Badala hata ya kujenga nyumba anapita akigawa pesa
na ahadi! Badala aanze kurekebisha
utata uliogubika uraia wake
anahangaika kuanza kampeni mapema
hii akipika pilau na nyama!"
al shabaab vs interahamwe hiyo. haituhusu.
 
What about yeye kutumia jina la mwanaume mwenzake? Sheria vilevile inaweza kumshughulikia na yeye, na ndiyo maana hana ubavu wa kuondoka CCM. Akiondoka CCM that means hatajihusisha na siasa kwa ngazi ya kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom