Hamisi Damumbaya hafai kuwa Mlimani TV

Ndio maana CCM hawataki KATIBA MPYA sababu ya Vyeo vya uDC fully upumbavu...
 
Tayari umetoa hukumu juu yake kwa mtazamo wako...nakushauri upeleke malalamiko yako kwa waajiri wake ili waweze chukua hatua.
Vinginevyo jitahidi kuvumilia tu kwani si kila ataishi kwa namna itakayokuridhisha wewe.

Waajili wake wenyewe wanashiba Miguuni pa watawala wa CCM unategemea nini?
 
Nadhani wewe ndiyo unamapungufu, jichunguze kwanza, si kila mtu anawaza au anapenda unachokipenda wewe! Huwezi kumchukia mtu eti kwa Kuwa tu hasaport ukawa! Ukiwa hivyo utabaki na kinyongo maishani mwako na huta nenepa, jichunguze achana mahaba na ukawa.
 
Hahahahaha haki ya nani umenifurahisha eti ukiwa na kinyongo haunenepi.Hii kitu ni serious Richpol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom