donbeny
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,587
- 3,174
Kwahiyo mchezaji akiwa mzuri ruksa kutokuwa na nidhamu?Sasa Mkuu, unamfananisha Emanuel Anord Okwi [CR7 wa Uganda] na Hamis Kiiza kweli???
Kwahiyo mchezaji akiwa mzuri ruksa kutokuwa na nidhamu?Sasa Mkuu, unamfananisha Emanuel Anord Okwi [CR7 wa Uganda] na Hamis Kiiza kweli???
Hahaha.. Mkuu na vipigo vizito toka kwa Mo Bejaia na TP Mazembe vinavyofuata, utajipoza lini?Subiri nijipigie Oct. 1 nijifariji na kipigo cha Medeama.
Sina maana hiyo.. Ila Mkuu ya Okwi tuachane nayo.. Mana huyu Okwi hakua mchezaji wa kawaida hata kidogo.. Ndo mana kakosa kake kamoja ka uchelewaji kalishindwa kuyafunika mazuri [furaha] lukuki aliyokua akitupatia week in week out.Kwahiyo mchezaji akiwa mzuri ruksa kutokuwa na nidhamu?
Sina maana hiyo.. Ila Mkuu ya Okwi tuachane nayo.. Mana huyu Okwi hakua mchezaji wa kawaida hata kidogo.. Ndo mana kakosa kake kamoja ka uchelewaji kalishindwa kuyafunika mazuri [furaha] lukuki aliyokua akitupatia week in week out.
Sasa huyu Kiiza... Mara leo kachelewa, Mara kesho anataka kusababisha wachezaji wenzake wagome, Mara keshokutwa anagombana na Kocha wake Mkuu [raia mwenzake toka Uganda].. n.k
Nadhani hata hapo mitaa ya Jangwani, hizo ndo sababu kuu zilizowafanya mumtupie virago.
Coward..mtaje kaburuAnaye lalamikiwa kila mara yupo na anajulikana, najua habari hii imekwisha mfikia, sasa ingekuwa vema akatumia busara kuwapisha wanachama wengine wa Simba wenye uwezo kama yeye au hata kumpita yeye kuiandaa timu kwa ajili ya msimu ujao!
Okwi kawahi kufunga magoli 19?Sasa Mkuu, unamfananisha Emanuel Anord Okwi [CR7 wa Uganda] na Hamis Kiiza kweli???
We ni taahira kama matahira wenzako...mtu unayeipenda simba lazima uwe mkweli kwa kusema ukwli....unaposhabikia kimahaba mpaka uozo ujue ni we taahiraHuyu Kiiza nae atulize kipago.. Asidhani kama tumesahau haya
1. Ile tabia yake ya kuchochea vitendo vya utovu wa nidhamu ndani ya timu. Mfano kitendo chake cha kupinga kufungiwa kwa nahodha wake, Hassan Isihaka.. Sasa Leo wote OUT.
2. Tabia yake ya kuchelewa kujiunga na kambi ya Simba akitokea Uganda alipokuwa akitumikia timu yake ya taifa.. Na hii nadhani ni kujiona amekua Mkubwa zaidi ya timu.
Kiiza kila la heri uendako.. Simba tutaendelea kua imara zaidi.
Simba S.C [Nguvu Moja]
Okwi hakuwahi kufunga Magoli 19.. Ila kwa kukusaidia;Okwi kawahi kufunga magoli 19?