Hamis Kigwangalla ndani ya Kyela kwa Mwakyembe... CCM kunani?

Kwa mujibu wa tweets za mbunge wa nzega, inaonekana ameelekea kyela kwenda kushiriki maombi na mheshimiwa waziri mwakyembe.

Je, hili ni kundi la ngapi la CCM?

Kwakuwa kundi la Bashe unafahamika, kadhalika kundi la Kingwangwala linatabirika kwa usahihi wa zaidi ya 90%
 
Mwandosya, Mwakyembe, Sitta, Kigwangala na Maige ameonekana huko. Hivi kundi lao linataka nini hasa?
 
Hivi kuna sheria yoyote inayomkataza kigwangala asisafiri ndani ya Tanzania?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Dr. Vitumbua is suffering from post election wounds.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mwandosya, Mwakyembe, Sitta, Kigwangala na Maige ameonekana huko. Hivi kundi lao linataka nini hasa?
na wengine umewasahau Mtutura, Hilda Ngoye, Sugu moto chini, Tizeba, Kilufi, Zambi, Lembeli, Kabati, Ummy Mwalimu, naona kundi kubwa hili sijui wanapanga nini hawa , tuwaache wasindikizane mwisho wao
 
Back
Top Bottom