Hamis Kigwangalla ndani ya Kyela kwa Mwakyembe... CCM kunani?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Kwa mujibu wa tweets za mbunge wa nzega, inaonekana ameelekea kyela kwenda kushiriki maombi na mheshimiwa waziri mwakyembe.

Je, hili ni kundi la ngapi la CCM?
 
anasema mwakyembe ndio kamualika huko kyela.kweli kazi ipo mwaka huu.
 
si alisema angekuja elezea mamabo fulani..?sasa NEC imemkuta bado au ndio alikuwa aki beep kujiongezea uzitu ktk hili.Magamba hata game zinezoeweza chezwa kwa common sense tuu ni shida.ALitaka create demand sasa katengeneza exit door yake isiyo na heri.Sasa bado anajipa hope kupigia debe wanaharakati za urais ili waje mpa viti vya waliokosa nafasi katika jamii dume.
 
Tutamkumbuka JK kwa kutusaidia kuiua ccm ingawa wengi wanamchukia lakini mi nampenda kwa hilo tu its like kaamua nchi awakabidhi upinzani atakapoondoka.
 
Sasa bado anajipa hope kupigia debe wanaharakati za urais ili waje mpa viti vya waliokosa nafasi katika jamii dume.

Ila bado sijajua role ya Dr. Kigwangalla itakuwa ipi labda kama ni mwenyekiti wa UVCCM tungesema atakuwa kama Malema kumpiga vita asiyemtaka kwa jukwaa la UVCCM
 
Ila bado sijajua role ya Dr. Kigwangalla itakuwa ipi labda kama ni mwenyekiti wa UVCCM tungesema atakuwa kama Malema kumpiga vita asiyemtaka kwa jukwaa la UVCCM

Taajifanya narudi katk profession yake.huku akiwa kapractice kidogo sana.
 
Back
Top Bottom