Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
Wana jf nimesoma leo kwenye gazeti la Tanzania daima ambapo aliyekuwa mbunge wa Arusha Godbless Lema amewashauri madiwani,wabunge,mawaziri wa CCM wahamie CHADEMA kabla safina haijafungwa.
Lema aliyasema hayo alipokuwa akimpokea diwani wa wilayani Sengerema aliyeamua kukihama chama cha mapinduzi na kujiunga mwa CHADEMA.
Lema aliyasema hayo alipokuwa akimpokea diwani wa wilayani Sengerema aliyeamua kukihama chama cha mapinduzi na kujiunga mwa CHADEMA.