Hamadi Rashid Mohammed

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,136
13,258
Naombeni wanajf tumshauri mwanasiasa huyo ahamie Chadema ili kuongeza nguvu upande wa visiwani. Ni potential politician ambaye atatufaa. Ni maoni yangu, naomba mwenye nia nzuri aweke mchango wake hapa.

Naomba kuwasilisha.
 
Naombeni wanajf tumshauri mwanasiasa huyo ahamie Chadema ili kuongeza nguvu upande wa visiwani. Ni potential politician ambaye atatufaa. Ni maoni yangu, naomba mwenye nia nzuri aweke mchango wake hapa. Naomba kuwasilisha.

mwasisi wa chama chenu Mzee Mtei hataki waislam, wee huoni Zito anavyopata tabu pale licha ya uwezo wake mkubwa?
 
Ana uroho madaraka uliona avyochabikia kubadilisha kanuni za bunge kuhusu tafsiri ya kambi rasmi ya upizani.

Huo ulikuwa ni wajibu wake kuhakikkisha chama chake kinaendelea kusikika bungeni kwani kwa mda mrefu cuf ndo kilikuwa chama kiongozi wa upinzani bungeni. Kwa hili asilaumiwe hiyo iliokuwa ni mbinu ya kisiasa.
Naunga mkono hoja ya kumkaribisha chadema kwani ni mtu mwenye msimamo thabiti, imara, anao uwezo wa kujenga hoja na kuisimamia na hakupendezwa na ndoa ya mkeka ya cuf na ccm ndo akaamua kupingana na katibu wake kwani hakutaka kuburuzwa.
Sina tatizo na kukaribishwa kwake chadema.
 
Kalagabaho chadema hakina udini kila mtu anakaribishwa kundini,kwa hyo unataka kusema zito apewe uenyekiti au ukatibu mkuu wa chadema taifa? Hapana zitto bado kdogo kupewa madaraka kama hayo!! Kwa hyo cuf nao hawataki ukiristo? KALAGABAHO???????
 
Naombeni wanajf tumshauri mwanasiasa huyo ahamie Chadema ili kuongeza nguvu upande wa visiwani. Ni potential politician ambaye atatufaa. Ni maoni yangu, naomba mwenye nia nzuri aweke mchango wake hapa. Naomba kuwasilisha.
Hapa kuna vitu kama vitatu vya kuviangalia,

1.Chadema je wanamkubali kama ni mtu muhimu? nimjuavyo mimi huyu mtu hafai kwasababu ni mbinafsi sana, kama ni mfuatiliaji mzuri kumbuka alivyo behave baada ya kukosa nafasi ya kuwa Mwenyekiti kambi ya upizani bungeni

2.Yeye mwenyewe kukubali kuhamia chadema, hasa ukichukulia hawa wenzetu walivyo jikita kwenye kuchanganya Siasa na imani za kidini

3. Je Wanzanzibar wataiunga mkono Chadema? maana watu wengi wanaoishi maeneo yenye misikiti mingi uzoefu unaonyesha wapo slow sana kuielewa Chadema.
 
Naombeni wanajf tumshauri mwanasiasa huyo ahamie Chadema ili kuongeza nguvu upande wa visiwani. Ni potential politician ambaye atatufaa. Ni maoni yangu, naomba mwenye nia nzuri aweke mchango wake hapa. Naomba kuwasilisha.

Hafai huyo ni jamii ya KAFULILA tu huyo!
 
Ana uroho madaraka uliona avyochabikia kubadilisha kanuni za bunge kuhusu tafsiri ya kambi rasmi ya upizani.

Nani asiye na uchu wa madaraka? Hata Slaa alihamia chdema baada ya kupigwa chini kwenye kura za maoni alipokuwa CCM.
 
Mwachini apotee kisiasa,kumzungumzia sn kunampaisha,yule bidhaa feki.AMEYATAKA MWENYEWE.
 
Back
Top Bottom