Hamada umelewa...

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,196
Nasikia wimbo huu ni kijembe kwa mkuu wa kisiwa cha marashi ya karafuu, na serikali ya visiwa hivyo umepiga marufu redio za visiwani kuupiga wimbo huu.
Lakini kwa sababu kudhibiti teknolojia kwenye ulimwengu wa leo, redio za bara ambazo pia husikika visiwani zimekuwa zikiwaburudisha wananchi hao kwa wimbo huo mtamu.
Je kuna ukweli wowote kutokana na tetesi hizi?
Je ni kweli mkulu wa kisiwa ni mlevi wa kupindukia/
 
Akiwa mlevi inakusaidia au kukupunguzia nini? besides kwetu sisi pombe ni kinywaji cha heshima ndiyo maana watoto hawaruhusiwi kunywa.
tehe tehe teheheheheheh
 
.,.ulevi si hoja hoja ni matendo ya ovyo na ya uharibifu yatokanayo na ulevi,.ndio hoja ya kupigiwa kelele,.otherwise nenda ukamuulize mke wake kama hizo tetesi ni ukweli au la
 
Utapata majibu mengi ya aina tofauti kwa walevi hapa. We vumilia yote. Ndio sababu wanaitwa walevi...:smiling:
 
Ulevi sio ishu je kuna tendo gani baya la kijamii au lalamiko la kifamilia kutokana na ulevi wake,.?jua jinsi ya kurelax,.ukiwa na muda.,..mzee na jua kupangilia majukumu ukiwa na muda,.

ulevi uko mwingi mzee,...wa tende,.
kahawa...
wanawake ....
umbea....
majungu,,,...
mpira,....
n.k
POMBe
na BIA,.sasa kamuulize mkewe lipi ni kero kwake.,baadaye jamii anayoiongoza pia iulize kero,.zake kwao zinasababishwa na ulevi wake .,na omba ufafanuo,.ni ulevi upi wa bao au pombe,bia au wine,.[white or red]
 
mh..Ahmada umelewa... ni kibao cha bi kidude. ila sikua na habari kwamba umezuiwa kupigwa visiwani
 
......................................Ahmada Umelewa!!!!!!!!!!!!
Wimbo mzuri sana umenivutia na watunzi ni weledi haswaaaaaaaaaaa
 
mh..Ahmada umelewa... ni kibao cha bi kidude. ila sikua na habari kwamba umezuiwa kupigwa visiwani
Lakini hata mimi sidhani kwa inasemekana sponsor wakuurecord ni mke wamkulu??iweje tena iwenikwa ajili ya mukulu??Waongo
 
Nasikia wimbo huu ni kijembe kwa mkuu wa kisiwa cha marashi ya karafuu, na serikali ya visiwa hivyo umepiga marufu redio za visiwani kuupiga wimbo huu.
Lakini kwa sababu kudhibiti teknolojia kwenye ulimwengu wa leo, redio za bara ambazo pia husikika visiwani zimekuwa zikiwaburudisha wananchi hao kwa wimbo huo mtamu.
Je kuna ukweli wowote kutokana na tetesi hizi?
Je ni kweli mkulu wa kisiwa ni mlevi wa kupindukia/

:A S 39:kama sikosei unazungumzia wimbo wa ahmada umelewa ambapo vijana wa penalti wamemshirikisha msichana maarufu wa zenj. nadhani ni lugha ya kisanii tu wala si kijembe kwa mzee wa hapa pangu isitoshe kwa uzoefu wangu ahmada ni jina la kike. kama kazi kama hizo zingefuatiliwa kwa mtindo wa hisia sidhani wimbo kama salam kwa mjomba ingemfiikisha pema mjamba mjomba.
 
hahaaa ahmada ni jina la kiume yakheeee....
 
Back
Top Bottom