Hamad Rashid na David Kafulila walipaswa kutumia busara.

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,269
54,664
..baada ya hoja yao kutekwa nyara na CCM walipaswa kuachana na harakati za kubadili kanuni ya bunge kuhusu kambi ya upinzani.

..matokeo ya hoja yao ni kudhoofika kuliko kuimarika kwa kambi ya upinzani bungeni. hili walipaswa kulifahamu wakati wanaendesha harakati zao.

..kamati za bunge za kuisimamia na kuiwajibisha serikali sasa zinaongozwa na wabunge dhaifu, Mrema na Cheyo, wasiokuwa na historia nzuri kama viongozi wa upinzani.
 
Nafikiri cdm walitakiwa kutumia busara kwakuwa wangeweza kuzuia kama siyo ubinafsi wao
 
Mkuu,

Inawezekana kabisa kuwa una point hapa lakini lawama pia ziende kwa CDM kwa kushindwa kutumia busara ya kuingiza vyama vyengine katika kambi ya Upinzani.
Sasa huko ni ku-deal na kosa ambalo CDM hawakutaka kuliona hata baada ya kupata ushauri kutoka kila kona.
wakati CUF na NCCR wanastahili lawama katika hili lililotokea, CDM pia hawawezi kukwepa lawama hizo.
Tegemeo ni kuwa CDM watakuwa makini in the future lakini tayari athari ishatokea tayari.

Mkuu kuna sehemu umesema CDM wameshinda majimbo 20 Tanganyika..sasa angalia kama wameshinda 20 tu wanabehave hivi, watakuwa na tofauti na CCM wakishinda 100?
JokaKuu, huwa nasoma kwa makini uchambuzi wako, lakini lately ushabiki wa CDM unakufanya usione makosa wanayoyafanya CDM.
 
Nonda,

..Kafulila na Hamad walishatoka huko kwenye kuunda kambi moja ya upinzani.

..hoja yao ilikuwa ni kubadilisha kanuni ya bunge inayoipa uwezo chama kilichoshinda at leat 12.5 kuteua/kupendekeza majina ya wenyeviti wa kamati za bunge designated kuongozwa na upinzani.

..pia ukumbuke kwamba Chadema wameikuta kanuni hiyo, siyo kwamba wametumia nafasi yao kama chama kikubwa cha upinzani kuandika kanuni hiyo.

..kwa upande mwingine ni vizuri kuheshimu matakwa ya kura za wananchi. wananchi ndiyo waliyowapa CDM nafasi ya kuwa second placed in the parliament.

..wapiga kura walikuwa na uwezo wa kuamua kuwapa CDM less than 12.5% ya wabunge na hivyo kuwanyima mamlaka ya kuunda kambi ya upinzani kutokana na kanunu za bunge zilizokuwepo.

..swali alilouliza Kafulila anaweza kuulizwa yeye mwenyewe. NCCR imeshinda viti 3 bungeni inashindwa kuheshimu chama kilichoshinda viti 20. Je, NCCR ingeshinda viti 15 si wangefanya vurugu na fitina kubwa dhidi ya chama chenye viti 20?
 
sasa tuchukue hatua gani ilituweze kulinusuru taifa letu kutoka kwa mafisadi? :A S 20:
 
Hadi Tabwe Hiza kaliona hilo kamponda sana H.R Na chama chake MLIMANI TV NOW.
 
Hamad Rashid ni mwanasiasa wa kutilia shaka sana, ipo siku ukweli utajulikana tu...anaendelea kubebwa na "Nguvu ya kina Dr. Slaa na Zitto Kabwe wakati akiwa kiongozi wa upinzani...lakini kuna madai mazito sana yanayosemwa kuwa ALIFUJA FEDHA NYINGI SANA AKIWA KATIKA NAFASI HIYO, huku akiacha shughuli nyingi zikifanyika kwa fedha za watu mifukoni mwao..tunayafanyia kazi madai hayo, tukishapata data kamili tutazimwaga humu......
 
Mkuu,

Inawezekana kabisa kuwa una point hapa lakini lawama pia ziende kwa CDM kwa kushindwa kutumia busara ya kuingiza vyama vyengine katika kambi ya Upinzani.
Sasa huko ni ku-deal na kosa ambalo CDM hawakutaka kuliona hata baada ya kupata ushauri kutoka kila kona.
wakati CUF na NCCR wanastahili lawama katika hili lililotokea, CDM pia hawawezi kukwepa lawama hizo.
Tegemeo ni kuwa CDM watakuwa makini in the future lakini tayari athari ishatokea tayari.

Mkuu kuna sehemu umesema CDM wameshinda majimbo 20 Tanganyika..sasa angalia kama wameshinda 20 tu wanabehave hivi, watakuwa na tofauti na CCM wakishinda 100?
JokaKuu, huwa nasoma kwa makini uchambuzi wako, lakini lately ushabiki wa CDM unakufanya usione makosa wanayoyafanya CDM.

Ndugu ZANGUNI KWA NINI MNAKIMBILIA KUILAUMU CHADEMA PASIPO KUANGALIA MTIRIRIKO WA MATUKIO. AGALIENI MAANA HALISI YA CHAMA CHA UPINZANI? Kwa kweli tusiwalaumu chadema wala CUF. Tunachotakiwa kufanya ni kupima maelezo ya kila chama kisha kuona chama kipi chenye mkakati wa Kuisimamia Serikali wala si vinginevyo!!!!!!
Vyama vinapoungana kuunda kambi ya upinzani lazima vitengeneze Sera ya pamoja vivyo hivyo vikitaka kuunda serikali ya pamoja [kumbuka cameroun alivyotaka kuunda Serikali na vile vyama walikaa kwanza wakajadiliana hadidu z rejea]. Kwa KIFUPI CHADEMA wakitaka kuungana na CUF lazima watengeneze sera ya pamoja na hiyo sera lazima CUF aipeleke CCM ili nako wakainyambulishe iwe ya pamoja kati ya CUF na CCM kwani walishaungana kuunda Serikali. Kwa kuipeleka sera ya pamoja kati ya CDM na CUF itakuwa ni sawa na kusema CCM, CUF na CHADEMA wakae pamoja kuunda sera/kambi moja. Je, utaendelea kuiita kambi ya upinzani?
 
Hamad Rashid ni mwanasiasa wa kutilia shaka sana, ipo siku ukweli utajulikana tu...anaendelea kubebwa na "Nguvu ya kina Dr. Slaa na Zitto Kabwe wakati akiwa kiongozi wa upinzani...lakini kuna madai mazito sana yanayosemwa kuwa ALIFUJA FEDHA NYINGI SANA AKIWA KATIKA NAFASI HIYO, huku akiacha shughuli nyingi zikifanyika kwa fedha za watu mifukoni mwao..tunayafanyia kazi madai hayo, tukishapata data kamili tutazimwaga humu......

Mimi nafahamu Rashid ni mtu safi kwa maadili, kama angefuja basi ushirikiano ule na akina ztto pamoja na slaa ungeyumba. Katika historia ya upinzani, bado ana rekodi ya kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani mwenye upeo wa akina Zitto na si wengine.
 
CDM walikuwa hawataki kuunganisha nguvu na wapinzani wenzao wakiofia ushirikiano huo ungepelekea kugawana uwenyeviti wa kamati zile tatu muhimu, na walikuwa wanajua wazi ni lazima CCM ilipefadhila kwa MREMA kwa kuwaunga mkono hadi kumtosa mgombea wake wa urais na kumsupport JK. KAFULILA na HAMAD walikuwa wanajua kuwa nafasi hizo zitaenda kwao kama kutakuwepo na ushirikiano. Kimsingi VITA YA PANZI FURAHA YA KUNGURU. Si KAFULILA wala HAMAD ambaye kiukweli wameridhika na nafasi hizo kushikwa na CHEYO na MREMA. kumbukeni NCCR ya MREMA 1995-2000 ndiyo ambayo CUF waliikataa kuunda nayo Kambi ya upinzani Bungeni, HAMAD ndiye aliye mtimua CHEYO kwa kumpoka uongozi ktk kambi ya upinzani hivyo HAMAD na CHEYO si wamoja.

Baada ya vita kuisha mshindi ni CCM kwa kupanga kibaraka wao MREMA na swahiba yao CHEYO (zimwi likujualo ndio msingi uliotumika kumbeba CHEYO)
CDM wamepokwa haki yao hivyo wamepoteza ktk vita hiyo. Na HAMAD (CUF) na KAFULILA wamekosa nafasi walizotarajia hivyo nao wamepoteza ktk vita hiyo.INGAWA CDM IMEJITOA KIMASOMASO KWA KUPATA NAFASI MOJA lakini CCM imepata zaidi
 
Mkuu kuna sehemu umesema CDM wameshinda majimbo 20 Tanganyika..sasa angalia kama wameshinda 20 tu wanabehave hivi, watakuwa na tofauti na CCM wakishinda 100?

Bado napata tabu kuelewa mantiki ya hoja hii,ambayo Kafulila aliitumia kuwashambulia CDM na ambayo pia kaka Majid Mjengwa aliitumia ktk thread yake kuishambulia CDM, kwamba ati kwa kukataa kuungana na 'wenzao' kuunda kambi ya upinzani basi wao ni wabinafsi. Hii ni 'cross multiplication' kind of thinking(refer to Mathematics) ambayo hutumiwa na watu wavivu wa kufikiri au watu werevu ili kuwadanganya wavivu wa kufikiri. Ni kama kusema kama mafuta lita10 yanakufikisha kariakoo kwa nusu saa, lita20 itakufikisha kwa robo saa,it never works that way!

Ni nafasi nzuri ya Kafulila kulipiza kisasi dhidi ya CDM kwa kumfukuza na Hamad kujaribu kupunguza makali ya CDM baada ya kukubalika zaidi Tz kukishinda, kwa kujaribu kuweka hisia za 'uchu wa madaraka' kwa kushindwa kushirikisha vyama vingine. Lakini mbona CUF na NCCR hawajajibu hoja ya CDM ya kukataa kushiriki na CUF, JE?si kweli kuwa CUF ni sehemu ya serikali kwa sasa? Na NCCR mbona hawazungumzii tamko la CDM kuwataka waachane na serikali (CUF) ili waungane sawia ktk upinzani, kwanini wasikiri kuwa wameamua kuchagua kubaki na CUF badala ya kuungana na CDM(in politics you always have to take sides)? Sasa uchoyo wa CDM uko wapi ktk hili?
Isitoshe, upinzani ni itikadi/msimamo zaidi kuliko cheo. Hata kama kulikuwa na kamati tatu za bunge kwaajili ya upinzani ni ujinga kusema CDM wana 'uchu wa madaraka' kwa sababu tu hawajashirikisha vyama vingine ktk kambi. Vipi kuhusu CUF na CCM vilipogoma kushirikisha vyama vingine ktk serikali ya umoja wa kitaifa?

Na katika hili la kuongoza kamati za hesabu za bunge, yupi ni mroho wa madaraka, yule ambaye amepewa na wananchi ridhaa zaidi na kustahili haki ya kuongoza kamati bila kushirikisha wengine kutokana na kanuni zilizokuwepo (CDM) au wale waliokuwa tayari kubadili kanuni kwa ridhaa ya CCM (a deal with the devil) ili waongoze wao kamati(NCCR,UDP,TLP,CUF)?
 
Mkuu,

Inawezekana kabisa kuwa una point hapa lakini lawama pia ziende kwa CDM kwa kushindwa kutumia busara ya kuingiza vyama vyengine katika kambi ya Upinzani.
Sasa huko ni ku-deal na kosa ambalo CDM hawakutaka kuliona hata baada ya kupata ushauri kutoka kila kona.
wakati CUF na NCCR wanastahili lawama katika hili lililotokea, CDM pia hawawezi kukwepa lawama hizo.
Tegemeo ni kuwa CDM watakuwa makini in the future lakini tayari athari ishatokea tayari.

Mkuu kuna sehemu umesema CDM wameshinda majimbo 20 Tanganyika..sasa angalia kama wameshinda 20 tu wanabehave hivi, watakuwa na tofauti na CCM wakishinda 100?
JokaKuu, huwa nasoma kwa makini uchambuzi wako, lakini lately ushabiki wa CDM unakufanya usione makosa wanayoyafanya CDM.

Ukweli ni kwamba CUF is pure opposition party , CUF ni POPO Bawa wako kwenye utawala pia wako kwenye upinzan.
Ukweli huu ndo chanzo cha migogoro yote ndani ya kambi ya upinzani.
Tatizo la CUF Kuunda serikali ya Mseto na CCM kule Visiwani ndiyo asili ya vurumai.

CCM wanachezea Sheria na Taratibu hawajui kwamba kuna world Wide Paradigm Shift ambayo itawaacha wamejisetiri na Birthday Suit?

Nguzo zote za CCM za kuendeleza Uhaini na Ubakaji zimevunjwa miimo na misingi yake wamebakiwa na nguzo mbili tu nazo zina nyufa kibao.
Nguzi ya kwanza FEDHA
Nguzo ya pili MIZENGWE/Ubabaishaji/Ushikaji/unyanyawingi.

Wananunua Haki kwa fedha.
Wanatumia dhamana kupindisha na kufumbia macho sheria na taratibu.

Vitisho vimewashinda
Wizi karibu itakuwa historia.
kujifagilia kumewashinda.
Kupakazia wengine kumewashinda.
kuburuza watu mahakamani kumewashinda.

Nonda,

..Kafulila na Hamad walishatoka huko kwenye kuunda kambi moja ya upinzani.

..hoja yao ilikuwa ni kubadilisha kanuni ya bunge inayoipa uwezo chama kilichoshinda at leat 12.5 kuteua/kupendekeza majina ya wenyeviti wa kamati za bunge designated kuongozwa na upinzani.

..pia ukumbuke kwamba Chadema wameikuta kanuni hiyo, siyo kwamba wametumia nafasi yao kama chama kikubwa cha upinzani kuandika kanuni hiyo.

..kwa upande mwingine ni vizuri kuheshimu matakwa ya kura za wananchi. wananchi ndiyo waliyowapa CDM nafasi ya kuwa second placed in the parliament.

..wapiga kura walikuwa na uwezo wa kuamua kuwapa CDM less than 12.5% ya wabunge na hivyo kuwanyima mamlaka ya kuunda kambi ya upinzani kutokana na kanunu za bunge zilizokuwepo.

..swali alilouliza Kafulila anaweza kuulizwa yeye mwenyewe. NCCR imeshinda viti 3 bungeni inashindwa kuheshimu chama kilichoshinda viti 20. Je, NCCR ingeshinda viti 15 si wangefanya vurugu na fitina kubwa dhidi ya chama chenye viti 20?

JokaKuu,

Uliyaandika ni convincing hakuna la kubishia hapa ila ndio maana hiyo busara ndiyo ilikuwa uchukue mkondo wake ,kwa bahati mbaya CDM wamesimamia kanuni na wamesahau busara. Sasa we have to deal with the aftermath.

Pitia hii, ongeza tu kwenye hiyo equation NCCR,TLP na UDP.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/92308-upinzani-unapopinzana-unapohujumiana.html
 
AfroPianist said:
Na katika hili la kuongoza kamati za hesabu za bunge, yupi ni mroho wa madaraka, yule ambaye amepewa na wananchi ridhaa zaidi na kustahili haki ya kuongoza kamati bila kushirikisha wengine kutokana na kanuni zilizokuwepo (CDM) au wale waliokuwa tayari kubadili kanuni kwa ridhaa ya CCM (a deal with the devil) ili waongoze wao kamati(NCCR,UDP,TLP,CUF)?

AfroPianist,

..nakubaliana na wewe 100%, sina cha kuongeza.

Nonda,

..Kafulila na Hamad ni sawa na watu wanaotaka kula bila kufanya kazi.

..nasema hivyo kwasababu nafasi waliyopata CDM ni matunda ya juhudi zao kuwafikia na kuwatetea wananchi.

..tufike mahali viongozi waongoze kwa ridhaa ya kura, na siyo ujanja-ujanja wa kucheza na kanuni za bunge.
 
Nonda,

..Kafulila na Hamad ni sawa na watu wanaotaka kula bila kufanya kazi.

..nasema hivyo kwasababu nafasi waliyopata CDM ni matunda ya juhudi zao kuwafikia na kuwatetea wananchi.

Mkuu,
CDM wangeweza kuwaingiza m/wabunge kutoka NCCR bila kumpa kula Kafulila,
Pia wangeingiza m/wabunge kutoka CUF asiye Hamad ...kama tunazungumzia busara ndio hizo.
 
mmmmh

Sina hakika nani wamekosa busara katika hili!!

..baada ya hoja yao kutekwa nyara na CCM walipaswa kuachana na harakati za kubadili kanuni ya bunge kuhusu kambi ya upinzani.

..matokeo ya hoja yao ni kudhoofika kuliko kuimarika kwa kambi ya upinzani bungeni. hili walipaswa kulifahamu wakati wanaendesha harakati zao.

..kamati za bunge za kuisimamia na kuiwajibisha serikali sasa zinaongozwa na wabunge dhaifu, Mrema na Cheyo, wasiokuwa na historia nzuri kama viongozi wa upinzani.
 
..baada ya hoja yao kutekwa nyara na CCM walipaswa kuachana na harakati za kubadili kanuni ya bunge kuhusu kambi ya upinzani.

..matokeo ya hoja yao ni kudhoofika kuliko kuimarika kwa kambi ya upinzani bungeni. hili walipaswa kulifahamu wakati wanaendesha harakati zao.

..kamati za bunge za kuisimamia na kuiwajibisha serikali sasa zinaongozwa na wabunge dhaifu, Mrema na Cheyo, wasiokuwa na historia nzuri kama viongozi wa upinzani.

Mkuu,
Mbowe ametumia kanuni lakini amepuuza busara.

"Kimtazamo wa kikanuni yuko sahihi kwa kuwa zinampa mamalaka hayo. Lakini kwa mtazamo wa uongozi, uamuzi huo una mushkeli kwa kuwa zinamfanya kuonekana kama kiongozi wa kambi ya Chadema zaidi kuliko kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni," alisema Kafulila.

Mbowe "[FONT=ArialMT, sans-serif]Alisema kuwa ameteua wasemaji wakuu wa wizara hizo kutoka Chadema peke yake kwa kuwa vyama vinavyounda kambi hiyo havijafikia maridhiano na kuahidi kuwa atavishirikisha baada ya kufikia maridhiano."[/FONT]

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/110966-vyama-vya-upinzani-vyakubali-uamuzi-wa-mbowe.html
 
Hadi Tabwe Hiza kaliona hilo kamponda sana H.R Na chama chake MLIMANI TV NOW.

Duu! hizi ndio siasa za bongo, Tambwe Hizza siku akiwaponda Chadema wanamuita taka taka leo kawaponda Cuf maneno yake unayatumia kama Reference, haya tutafika
 
..waliowapa CDM uhalali wa kuunda kambi ya upinzani ni wananchi wapiga kura. inaelekea Kafulila bado hakubaliana na ukweli huo. huyu inaelekea si mwana demokrasia wa kweli.

..CDM waachwe watekeleze jukumu walilokabidhiwa na wapiga kura. at the end of the day, wakati wa uchaguzi, wapiga kura watakuwa na nafasi ya kuwapima na kuamua kama wawape majukumu makubwa zaidi au wawatose ktk nafasi hiyo.

..labda nikukumbushe mfano mmoja wa gaidi la Kiafrika akiitwa Dr.Jonas Savimbi. wakati wa harakati za uhuru wa Angola Dr.Savimbi alikwenda kutafuta msaada wa kijeshi kwa makaburu wa Afrika Kusini. that was a CARDINAL SIN au USALITI MKUU machoni mwa Tanzania na nchi zilizokuwa mstari wa mbele kugombea uhuru wa Afrika.

..walichofanya KAFULILA na HAMAD RASHID, kwenda kutafuta msaada wa CCM, kubadilisha kanuni ya bunge ya kambi ya upinzani, hakina tofauti na kitendo alichofanya SAVIMBI dhidi ya wazalendo wenzake. ule ulikuwa ni usaliti kwa kila mwenye mapenzi mema na mafanikio ya upinzani nchi hii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom