Hamad Rashid na chama kipya

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,797
12,239
Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.

Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?
 
Hamad=jussa=0
 
Nadhani ingekuwa bora kwa Hamadi Rashid a.k.a Pinda B, kuweka nguvu zake kwenye hicho chama na kuachana na CUF. Sasa kwa nini analazimisha kuwa CUF kwa njia ya mahakama wakati yeye ana chama kipya?
Nadhani wana CUF walifahamu njama hii ya HR mapema, sema HR alikuwa anatafuta gear ya kutokea ( ku-create chaos ndani ya CUF ili kupata wanachama wa kuanzia)
Kwa nini asingewaongezea nguvu CHADEMA? Naona wako mstari wa mbele kumpa support jumu JF!
 
Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?[/QU
 
Haujamuelewa vizuri hamadi,alisema wale members wa kafu waliojiengua walienda kwake kupata ushauri tu,kwamba wao(exclude hr) wanawazo la kuanzisha chama sasa hamadi amewashauri tu!
 
anatapa tapa huyu...kwisha habari yake...kama angetaka kupata walau wanachama 10 kule kwao tu Wawi asingelihamsha familia yake yote na kuhamia Tanganyika...hajitambuwi Hamadi Rashid ...mpeni pole!
 
Ivi Jahazi asilia iliishia wapi tena vile.... Hawa wanataka kutuchnganya tu na kugawa kura za upinzani sioni kama kuna jipya kwenye vyama vinavyoanzishwa
 
Hizo ni siasa za mfa maji.WaTZ wanataka siasa zenye tija kwa sasa ni si utitili wa vyama. Huo ndo mwisho wa Hamad na siasa zake za kusaka maslahi ya tumbo.
 
Haujamuelewa vizuri hamadi,alisema wale members wa kafu waliojiengua walienda kwake kupata ushauri tu,kwamba wao(exclude hr) wanawazo la kuanzisha chama sasa hamadi amewashauri tu!

Kitendo cha yeye kujitapa kuwa walikwenda kupata ushauri wake ni dalili kuwa yuko nyuma yao isipokuwa hataki kijitangaza rasmi kuhofia kuondolewa bungeni hivi sasa.
 
anatapa tapa huyu...kwisha habari yake...kama angetaka kupata walau wanachama 10 kule kwao tu Wawi asingelihamsha familia yake yote na kuhamia Tanganyika...hajitambuwi Hamadi Rashid ...mpeni pole!
I hope hiki chama hakitakuwa na Ofisi Misikitini tena kama kule "Mtaa wa Saba" alikohama.
 
Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.

Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?

Safi sana, huu ndo ukomavu wa kisiasa sio magamba wanavyolishana sumu kama kitu hukipendi achana nacho
 
Angefanya la maana sana kama angeenda CHADEMA. Angeipa nguvu sana CHADEMA visiwani. Na huenda wangempa uongozi ili aweze kugombea uraisi wa Zanzibar mwaka 2015. Kila la Kheri mpiganaji Hamad Rashid.
 
Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?
Mmh! Kwa kweli utakuwa ulimnukuu vibaya kwani yeye bado ana kesi mahakamani na cuf hivyo hawezi kujihusisha na uundaji wa chama kwani Ni kinyume na Sheria, hana akili Kama za wale Jamaa waliokiuka amri ya mahakama na kutangaza kuwatimua na sasa wanasubiri jela itakapofika tar. 13 march, 2012.
 
Nadhani ingekuwa bora kwa Hamadi Rashid a.k.a Pinda B, kuweka nguvu zake kwenye hicho chama na kuachana na CUF. Sasa kwa nini analazimisha kuwa CUF kwa njia ya mahakama wakati yeye ana chama kipya?
Nadhani wana CUF walifahamu njama hii ya HR mapema, sema HR alikuwa anatafuta gear ya kutokea ( ku-create chaos ndani ya CUF ili kupata wanachama wa kuanzia)
Kwa nini asingewaongezea nguvu CHADEMA? Naona wako mstari wa mbele kumpa support jumu JF!

Mkuu nadhani Hamad hang'ang'anii CUF anang'ang'ania UBUNGE! Akitoswa tu na Ubunge hana. Anavuta muda tu huko mahakamani.
 
Back
Top Bottom