Hamad Rashid Mohammed naye kuondoka CUF!

Hata hivyo, kwa kuwa ni maamuzi yangu ninaweza kubadili msimamo wangu huo na kugombea tena na kushinda. Nipo huru kuamua ninachoona inafaa!

Mkuu Zitto nashukuru kwa kuweka wazi swala hili.
Mi naomba na nina kusihi omba tena ridhaa ya kugombea tena Ubunge kwa kupitia jimbo lako hilo hilo nakuomba sana tafakari mara 2 mwakani nakuomba ugombee tena ili kuziba midomo domo ya wana CCM wengi wanasema umenunuliwa wengi wanasema umekwisha kisiasa ili kuwaonyesha bado umo nakuomba uchukue form mwakani kisha ugombee. P'se fikiria mara 2 kisha chukua uamuzi sahihi.
 
Mimi siamini habari kama hii maana haiwezekani kabisa kwa mtu kama RASHID HAMAD kuondoka CUF, ni nguzo muhimu sana ndani ya chama hicho
 
Usemacho ni sahihi,sasa ataendelea kuwa nguzo mpaka lini? Yeye pia ana ndoto zake ambazo mimi na wewe hatuzijui. Kama anaona wanamzibia kufikia ndoto zake atabaki hapo siku zote,tafadhali tusimsemee mtu aliye hai.
 
Jamani ndugu zangu!! SIAMINI tetesi kama hizi maana he guys is very conservative, labda wanataka kufanya chama cha Tatu chenye nguvu Zanzibar, Ndugu akili yangu na macho yangu yanagoma kuamini mambo haya hata kidogo, tumuulize huyu mtoa habari ametoa wapi habari hii??
 
1. Nilijiunga CHADEMA kabla ya Kabourou. Mimi nilijiunga mwaka 1993, nikiwa kidato cha Tatu Shule ya Sekondari Kigoma. Yeye alikuja mwaka 1994 kugombea Ubunge kuziba nafasi ya Marehemu Rajabu Omar Mbano.
2. Sijawahi kuwa mwanachama wa CCM na hivyo hakuna kitu kurudi nyumbani. Toka nimekuwa na umri wa kujiunga siasa nimekuwa mwanachama wa chama kimoja tu CHADEMA na ninamwomba sana Mungu uhai wangu uishie katika chama hicho tu. Inshaallah
3. Kutangaza kwangu kutogombea hakuhusiani na hata kidogo na uzushi wako hapo juu. Nimeshasema ni kwa nini niliamua kutoomba kipindi kingine cha Ubunge. Hata hivyo, kwa kuwa ni maamuzi yangu ninaweza kubadili msimamo wangu huo na kugombea tena na kushinda. Nipo huru kuamua ninachoona inafaa!

Ulijiunga ukiwa na miaka mingapi? kwani sifa ya kujiunga na chama sio umri wa miaka 18?

Habari ya kuacha ubunge mimi bado hujanishawishi mara useme unaenda SomaliLand mara unataka kuongeza elimu n.k
Mwenyekiti wako naye alisema anaenda kuongeza Elimu kwenye vyuo vitatu duniani haiku WORK OUT hujajifunza?bunge gani lenye PhD duniani nipe mfano? kuanzia Africa hadi ulaya na Marekani.

Waziri Pinda kasema kuwa mambo magumu jimboni kwako sasa labda umeshapiga ramli ukaona bora uondoke,kwani Mwalimu Nyerere alipoona amekoswakoswa kupinduliwa ndio akaja na gea ya kung'atuka.
Tushike lipi Mheshimiwa?
 
Jamani ndugu zangu!! SIAMINI tetesi kama hizi maana he guys is very conservative, labda wanataka kufanya chama cha Tatu chenye nguvu Zanzibar, Ndugu akili yangu na macho yangu yanagoma kuamini mambo haya hata kidogo, tumuulize huyu mtoa habari ametoa wapi habari hii??
Mimi nilileta habari ya Lwekatare kwenda Chadema miezi mitano iliyopita na kweli imekuwa.tumpe Muda mtoa mada.
 
Tunashukuru mkuu kwa kuileta habari hiyo na pia umekuwa na mchango mkubwa sana hapa JF, tunashukuru sana
 
DUU sidhani kama atachukua uamuzi mkubwa na wenye kuhatarisha chama chao....duu maana wamekitoa mbali sana CUF jamani...heri waondoke wengine wote ila si Hamad.....aisee naogopa sana ila ndio demokrasia...lets wait and see
 
Mimi siamini habari kama hii maana haiwezekani kabisa kwa mtu kama RASHID HAMAD kuondoka CUF, ni nguzo muhimu sana ndani ya chama hicho
Tatizo lako huwaelewi hao. Hamad Rashid Mohammed ni mahiri, tu. Tena ni rrrasmi. Kaka zake huyo ni Mzee Said Rashid Mohammed-huyo ni CCM gwiji.
 
1. Nilijiunga CHADEMA kabla ya Kabourou. Mimi nilijiunga mwaka 1993, nikiwa kidato cha Tatu Shule ya Sekondari Kigoma. Yeye alikuja mwaka 1994 kugombea Ubunge kuziba nafasi ya Marehemu Rajabu Omar Mbano.
2. Sijawahi kuwa mwanachama wa CCM na hivyo hakuna kitu kurudi nyumbani. Toka nimekuwa na umri wa kujiunga siasa nimekuwa mwanachama wa chama kimoja tu CHADEMA na ninamwomba sana Mungu uhai wangu uishie katika chama hicho tu. Inshaallah
3. Kutangaza kwangu kutogombea hakuhusiani na hata kidogo na uzushi wako hapo juu. Nimeshasema ni kwa nini niliamua kutoomba kipindi kingine cha Ubunge. Hata hivyo, kwa kuwa ni maamuzi yangu ninaweza kubadili msimamo wangu huo na kugombea tena na kushinda. Nipo huru kuamua ninachoona inafaa!

Mhe. Zito inaonekana unatuchanganya na kututia wasiwasi!! ni vizuri ukatamka kitu kimoja cha kueleweka sisi wananchi pamoja na wapiga kura wako kwani hatujui/hawajui washike lipi 2010. Kama ni kuhama angalia wote waliohama kama wana hadhi tena ya kuitwa wanaume anzia kwa wale waliogombana na Mrema kule NCCR wote hawana kabisa heshima na mkionana machoni wanainama chini kwani ni aibu mwanaume mzima kupenda pesa kama changudoa!!! Angalia yule wa CUF aliyeahamia CCM utafikiri msukure kwani anapelekeshwa hawezi hata siku moja kujiamini kwani alipo anaongea uongo kuanzia A-Z wewe hiyo nini si bora mtu uwe mkulima!!! au uachane na siasa kuliko pesa!!1
 
Usemacho ni sahihi,sasa ataendelea kuwa nguzo mpaka lini? Yeye pia ana ndoto zake ambazo mimi na wewe hatuzijui. Kama anaona wanamzibia kufikia ndoto zake atabaki hapo siku zote,tafadhali tusimsemee mtu aliye hai.
Huyo jamaa asibaki kule siku zote akimsikiliza Maalim tu. Tazama picha pana ya sasa hivi- Hamad Rashid ana nafasi nzuri tu. Na azicheze karata. Hatuna noma huyo [B]twamjua uzuri.[/B]
 
Tatizo lako huwaelewi hao. Hamad Rashid Mohammed ni mahiri, tu. Tena ni rrrasmi. Kaka zake huyo ni Mzee Said Rashid Mohammed-huyo ni CCM gwiji.
Pakacha, SRM si kutu la N'gombe mbona wanapokutana CCM wawili na yy akiwepo ya ndani hayasemwi, asije akasikia!?
 
Labda nikudaokezeni tu umbeya Hamad Rashid Moh'd ndo anaetegemewa kuliongoza jahazi la CUF pindi Maalim Seif Shariff Hamad atakapoachia kwa namna yoyote ile. Wanachama wengi na wapenzi wa CUF wana kiamini kichwa hiki kuwa na uwezo, hekima, maarifa na ukomavu wa kulivusha na kulifikisha salama ufukweni jahazi la wanamageuzi kama walivyoapa tokea kamahuru.Mnaponambia hadithi za anataka kwenda CCM siwaelewi
 
Na mimi niko radhi tuwape CUF -tuwajaribuni ? yakhe. Lakini hii isiwe chini ya himaya ya Seif Sharif Hamad. Kama itakuwa chini ya Hamad Rashid Mohammed - sawa.
 
Hamad ahame bado naona si pati uhakika mbona inaonekana anaheshimiwa sana na viongozi na wanachama wa CUF sijui labda
 
Hivi wewe unawasikiliza hao? wenzio wapo kwenye fantasy world na day dream zao.. unajua hakuna ubaya kuota waache waote tu.

BTW Huyu huyu Hamad Rashid ambae leo anaitwa "kichwa" juzi juzi tu ahapa ailkuwa anaitwa fisadi na yupo kwenye payroll ya RA kwa kuwa tu kahoji uhalali wa Mengi kutumia vyombo vyake vya habari vibaya. Lakini leo ni kichwa cha nguvu!

Kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom