Hamad Rashid kuanzisha chama kipya!

Ivi akianzisha chama wakati amefungua kesi kupinga maamuzi ya baraza la cuf, itakuwa amebariki kufukuzwa au itakwa vipi?
 
Hapa tumefikia hatua ya kudhania (ku-hypothesize) hakuna haja kutoleana povu. Hamad Rashid atarudi CCM - walimponza kina Seif kutoka kule - na atakuwa mgombea mwenza 2015 na Seif atabaki na bumbuwazi.
 
Kwani ndio alivyosema leo huko habari maelezo Dar. maana tunasikia anashinda hapo kutwa kucha kutaka huruma za waandishi wa habari.

Kwa ninavyojua na ndivyo ilivyo Znz hakuna mgawanyika na hata CUF hakuna mgawanyiko kwani aliyetaka kuleta mgawanyika ameshafukuzwa na sasa anakesha na kushinda ukumbi wa habari maelezo. Hata jimboni kwake kwenda hataki.

Kwa ninavyomjua hamadi Rashid. hana uwezo wa kusimama katika kiriri na kuzungumza siasa kwani yeye ni mtendaji na si mwanasiasa. Je mmekwisha muona kwenye kiriri anahutubia? Fuatilieni hilo mtamuona.

Ni mtu wa kupenda ukubwa na uchu wa madaraka makubwa na ndio maana CUF wamemtimua.

mambo ya watanzania naomba tuachiwe waTZ.kama sisi tusivyoyaingilia masuala ya Oman..hii ajenda iliyojificha haitofanikiwa,Znz itabaki kuwa under Tanganyika milele.
 
nyie chadema sindio mlitaka awe mgombea mwenza wenu? Sasa hana chama mchukueni basi kesha temwa huyo! Kama kawaida yenu chadema huwa mnakula makombo ya vyama vingine! Mfano, lwakatare, akwilombe nk.

He!!! kumbe ukipokea aliyekuwa chama kingine we unakula makombo!!? je kuna chama ambacho kinaweza kutamba kwamba hakijawahi kula makombo? kwa mfano magamba kwa wasira, msabaha, tambwe hiza etc.
 
Tumechoka habari za tetesi lete fact ili chadema wazidi kujipanga kiushindi.
 
nyie chadema sindio mlitaka awe mgombea mwenza wenu? Sasa hana chama mchukueni basi kesha temwa huyo! Kama kawaida yenu chadema huwa mnakula makombo ya vyama vingine! Mfano, lwakatare, akwilombe nk.
Sahihisha, akwilombe kama ni makombo basi ni ya Chadema hivi sasa yanaliwa na CCM!
 
Kwani ndio alivyosema leo huko habari maelezo Dar. maana tunasikia anashinda hapo kutwa kucha kutaka huruma za waandishi wa habari.

Kwa ninavyojua na ndivyo ilivyo Znz hakuna mgawanyika na hata CUF hakuna mgawanyiko kwani aliyetaka kuleta mgawanyika ameshafukuzwa na sasa anakesha na kushinda ukumbi wa habari maelezo. Hata jimboni kwake kwenda hataki.

Kwa ninavyomjua hamadi Rashid. hana uwezo wa kusimama katika kiriri na kuzungumza siasa kwani yeye ni mtendaji na si mwanasiasa. Je mmekwisha muona kwenye kiriri anahutubia? Fuatilieni hilo mtamuona.

Ni mtu wa kupenda ukubwa na uchu wa madaraka makubwa na ndio maana CUF wamemtimua.

Sio tu anapenda madaraka bali hata adabu hana. Aliwezaje kuwaza kugombea nafasi ya U-Maalim ambayo ili uipate lazima iwe Sharif?

Ila na wewe mambo ya ZNZ unayaonea wapi? Si juzi tu hapa umesema upo Doha na habari za huku unamuuliza tu mami wako?
 
kwa hiyo anaanzisha chama anaamini kuwa kwa akili zake kweli atashinda? this is anothr william Rutto or may be ccm at work
 
Mwaceni ahangaike huku sisi tukijipanga kikijenga chama chetu (CDM) lakini cha kijifunza hapa ni kwamba ccm wana mbinu nyingi siku zote wanafikiria jinsi ya kuvivuruga vyama vya upinzani ili watawale milele. Tushikamane tuwakatae wachumia tumbo wote.
 
nyie chadema sindio mlitaka awe mgombea mwenza wenu? Sasa hana chama mchukueni basi kesha temwa huyo! Kama kawaida yenu chadema huwa mnakula makombo ya vyama vingine! Mfano, lwakatare, akwilombe nk.

Huyo Akwilombe Shaibu sio wa CHADEMA ni katibu wa CCM mkoa wa Mwanza au kuropoka ni kazi yako? Kwahiyo CCM nao walikula Makombo kwa Lamwai, Shitambalala na wengine waliohamia huko?
 
Yaana hawa jamaa wanawachanganya watu sana. Nashindwa kutambua haraka kati ya Seif na Hamad nani ana direct link na the Gambaz.
 
Wakuu nasikia Hamad Rashid na wenzake wameanzisha chama kiitwacho Alliance Democratic Party hii imekaaje kwa CUF kule Zanzibar, si watagawanyika na CCM itapeta milele

maalim seif ccm walimuingiza choo cha sokoni kwa kumtumia jussa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ya miaka mitano tu,wakati huo huo yeye akiwa busy na umakamu wa rais ccm underground watakua wanapenyeza fitna ya kuigawa cuf ili ikifika uchaguzi ujao ccm ishinde kirahisi ushindi mnono kwa kuzigawa kura za wapemba na hatimae kupata uhalali wa kuunda serikali ya ccm bila upizani yani wapinzani warudi katika kazi yao ya asili ya kufanya upinzani,kuifanya kazi hiyo iwe nyepesi alihitajika mpemba mwenye ushawishi kwa wapemba!kazi imeanza but maalim seif bado yuko usingizini,cheo kimemlevya hasikii walal haoni,anamuamini yule mtoto wa kuiunguja Jussa hajui kwamba amekuwa planted na uwt kumaliza nguvu za wapemba kwenye siasa za zenj!
 
Kinaitwaje aisee?
Hii ndiyo Bongo bana!
Mtu unapokwa uanachama, then Solution ni kuanzisha chama chako?..
Kuna maslahi gani huko kwenye vyama, ambayo wengine hatuyaoni?...ni uchungu wa maendeleo ya wananchi?
 
Back
Top Bottom