HAMAD RASHID katika Njama za Kumng'oa Maalim Seif?

Am happy kusikia habari ya CUF hapa JamiiForum! Nimechoshwa na habari za cdm na ccm

Amalizie tu adhma yake ya kuhamia cdm kabla ya 2015. Unajua ukiwa sehemu mbovu maranyingi mambo yako hayaendi sawasawa. Komaa tu hamadi.:mod:
 
wala siyo issue kuuubwaaaa...!! cuf wanaweza kufanya mabadiliko yoyote wanayoyataka kama vyama vingine vinavyofanya ikiwemo CCM na cdm, wala hakuna mwenye haki ya kuwazuia..!!!

karibu CCM kama hautajali...!!
 
Fundisho kwa Wapinzani wanaowapinga Wapinzani. Kumbe alikuwa haamiki nyumbani kwake, alitaka nani amwamini nje. Uaminifu huanzia nyumbani. Kama familia yako haikuamini, usitarajie jirani yako kukuamini.
 
wala siyo issue kuuubwaaaa...!! cuf wanaweza kufanya mabadiliko yoyote wanayoyataka kama vyama vingine vinavyofanya ikiwemo CCM na cdm, wala hakuna mwenye haki ya kuwazuia..!!!

karibu CCM kama hautajali...!!

Ni nafasi ya Rais tu ambayo mtu hata kama anapendwa anatumiakia kwa vipindi viwili tu. Nafasi nyingine ukiona mabadiliko kama hayo jua kuwa huyo mtu anatatizo.
 
CUF yafanya mabadiliko ya uongozi Thursday, 26 May 2011 22:25 0diggsdigg

Elizabeth Ernest
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemteua Julius Mtatiro, kuwa Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara na Ismail Jusa Ladhu kushika wadhifa huo huko Zanzibar.

Akitangaza uteuzi huo jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahimu Lipumba, alisema tayari Baraza Kuu la CUF, limewapitisha.Alisema baraza hilo pia limepokea na kuridhia mabadiliko yaliyofanywa na wabunge wa CUF, kwa kumchagua Mohamed Habib Mnyaa, kuwa kiongozi wa kambi ya CUF bungeni na Magdalena Sakaya, kuwa Katibu wa kambi hiyo.

Mbunge mwingine ni Hemed Salim ambaye alichaguliwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya CUF.Katika hatua nyingine, CUF imemtaka Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, kujiuzulu kwa madai kuwa ameshindwa kutumia vyanzo vya umeme vilivyopo, kukabiliana na tatizo la nishati hiyo.

Chama hicho kimesema Tanzania ina uwezo wa kufua umeme wa megawati 5,000 ikilinganishwa na megawati 791 za sasa zinazoingizwa katika gridi ya taifa.Kwa mujibu wa Profesa Lipumba vyanzo vya maji vinachangia kwa megawati 562 ya umeme huo.

Alisema makaa ya mawe yaliyogunduliwa yanaweza kuzalisha umeme wa megawati 1000 kwa zaidi ya miaka 50 ijayo wakati gesi iliyogunduliwa Mnazi Bay, mkoani Mtwara, Mkuranga na Songosongo, Kilwa inaweza kuzalisha umeme zaidi wa megawati 1000 kwa zaidi ya miaka 50 ijayo.

"Lakini pia madini ya uraniamu yaliyogunduliwa Namtumbo na Manyoni, yana uwezo wa kuzalisha malaki ya megawati za umeme kwa muda mrefu. Gharama za kuzalisha umeme wa jua na upepo zimepungua na zinaendelea kushuka,"alisema Profesa Lipumba. "Miaka 50 baada ya uhuru hatuna sababu ya kutokuwa na umeme wa uhakika, lakini Serikali ya CCM na Waziri Ngeleja,

Source: Mwananchi 27/5/2011

Tatizo la CUF ni Ushoga, Profesa Lipumba yeye ni kipasa sauti tu, msemaji ni Maalim Seif na hasa pia sie, ni Waarabu waliobaki Zanzibar na walioko nje, ndio viongozi wa chama, hao Kina Magdalena Sakaya na Julius wamekodiwa tu kama picha ya kudanganyia Taifa la Tanzania ambalo halina dini, lakini chama cha udini kisenge. Kwanini Wamtaje William Ngeleja lakini wanamsahau na walinyamaza kwa Bosi Dr Rashid, fisadi aliyeiba na kuzawadia waislamu wenzake pesa za Tanesco? je mauaji ya Arusha na Barrick kwa nini wasiseme Nahodha ajiuzulu? mabomu mara mbili ya Dar kwa nini wasiseme Mwinyi ajiuzulu? hawa jamaa janja yao sasa tunaijua, wako chapchap kumwandama kiongozi mkristo lakini kama mwislamu wanaminyia
 
kwa nn msipeme kuwa kilichotokea CUF ni Demokrasia?

kwa nn msione kuwa mwenyewe kaamua kuonyesha kuwa yeye anachukulia siasa ni uwakilishi kwa hio sio lazima yeye kila siku awasilishe?

hivi kila mtu akiamua au chama kikiamua kumpumzisha kwenye nafasi ina maana kuwa ana tatizo ?

jee hivyo ndivyo mnavyozani huko Chadema? kwa hio chadema kiongozi akipumzishwa anakuwa na nongwa
 
Upuuzi mtupu, CUF ni zaidi ya Hamad Rashid na mwingine yeyote si chama cha mtu ni chama cha wananchi, inavyoonekana watanganyika wa CCM na Chadema,mna lenu rohoni na Mh.Hamad Rashid
 
Safi sana mnafiki mkubwa huyo tena nitapita mtaani kupiga vuvuzela, alivuruga kwa kiasi kikubwa upinzani bungeni.. sasa naye ahamie ccm kwa sababu keshafilisika kisisas ajiunge na wanasiasa mufilisi kama JK na chama chake
 
Am happy kusikia habari ya CUF hapa JamiiForum! Nimechoshwa na habari za cdm na ccm

Lazima uziskie habari za hivyo vyama viwili i.e CDM na CCM coz ndo vyama vilivyokuwa active na mishe mishe kila siku kwa siku za hivi karibuni
 
Hamadi Rashidi, hana lolote ni mpuuzi mmoja tu hata ile mwaka jana bila Maalim Seif alikuwa anapigwa chini kule jimboni kwake wananchi wake hawakubali hata kidogo, na kuna mambo mengi ya ovyo ameshayafanya huyo jamaa na hili naonge nina uhakika nalo kabisa kuna mzee mmoja ni Dr ambaye anajipanga kwenda Wawi 2015 alikuwa ananipa info zote...
anyway watanzania bara walikuwa wanamkubali sana lakini baada ya kuja kuleta upuuzi wa kung'an'ania kuunda kambi ya upinzani bungeni watu walimdharau na kumuona kigagu fulani, kwanza kaweka udini, jaziba, chuki mbele...
aende zake na ninavyosikia 2015 ndio mwisho wake kisiasa na ukiangalia ndani ya kambi wameshaanza kumvua madaraka...
 
Tatizo la CUF ni Ushoga, Profesa Lipumba yeye ni kipasa sauti tu, msemaji ni Maalim Seif na hasa pia sie, ni Waarabu waliobaki Zanzibar na walioko nje, ndio viongozi wa chama, hao Kina Magdalena Sakaya na Julius wamekodiwa tu kama picha ya kudanganyia Taifa la Tanzania ambalo halina dini, lakini chama cha udini kisenge. Kwanini Wamtaje William Ngeleja lakini wanamsahau na walinyamaza kwa Bosi Dr Rashid, fisadi aliyeiba na kuzawadia waislamu wenzake pesa za Tanesco? je mauaji ya Arusha na Barrick kwa nini wasiseme Nahodha ajiuzulu? mabomu mara mbili ya Dar kwa nini wasiseme Mwinyi ajiuzulu? hawa jamaa janja yao sasa tunaijua, wako chapchap kumwandama kiongozi mkristo lakini kama mwislamu wanaminyia

Wewe kweli unatumia makamasi kufanya analysis zako..kwanza jifunze kuandika ndio uje uchangie hapa JF! hujui hata sehemu ya kuweka paragraph wala coma!.

Back kwenye utumbo ulioandika ambao umesukumwa na udini wako..kwenye press ya CUF wamewataja Nahodha na Ngeleja wote wajiuzulu. Ninawasi wasi kama source ya habari zako ni gazeti la kiongozi.
 
Hamadi Rashidi, hana lolote ni mpuuzi mmoja tu hata ile mwaka jana bila Maalim Seif alikuwa anapigwa chini kule jimboni kwake wananchi wake hawakubali hata kidogo, na kuna mambo mengi ya ovyo ameshayafanya huyo jamaa na hili naonge nina uhakika nalo kabisa kuna mzee mmoja ni Dr ambaye anajipanga kwenda Wawi 2015 alikuwa ananipa info zote...
anyway watanzania bara walikuwa wanamkubali sana lakini baada ya kuja kuleta upuuzi wa kung'an'ania kuunda kambi ya upinzani bungeni watu walimdharau na kumuona kigagu fulani, kwanza kaweka udini, jaziba, chuki mbele...
aende zake na ninavyosikia 2015 ndio mwisho wake kisiasa na ukiangalia ndani ya kambi wameshaanza kumvua madaraka...
Mmmh kama haya usemayo hapa ni ya kweli,basi Mungu amejibu kilio cha baadhi ya watanzania bara....Binafsi nilikuwa namkubali sana huyu mzee, lakini toka siku ile nilipomuwatch live ndani ya mdaharo against Mbowe.....niligundua huyu jamaa ni bogasi kabisa! yaani anajazba,chuki,udini na uzanzibari.....hakika huyu jamaa simpendi kabisa!
 
Yule bingwa wa kambi ndogo ya upinzani bungeni, amepigwa chini tena cuf.sasa atabadili kanuni ili cuf iwe na kambi mbili ndogo za upinzani bungeni,moja kubwa inayoongozwa na mnyaa,na ndogo atakayoiongoza yeye.au ataenda nccr akawe mkuu wa kambi yao. Al tatur munafik
Arudi Magambani na aanzishe KAMBI KUBWA YA UPINZANI NDANI YA MAGAMBA
 
Back
Top Bottom