HAMAD RASHID katika Njama za Kumng'oa Maalim Seif?

gambatoto

Senior Member
May 25, 2011
175
28
Hamad Rashid anadaiwa kupanga mkakati wa wa kumuengua Maalim Seif kwa madai kwamba tangu aingie kwenye Serikali ya mseto kama Makamu wa kwanza wa Rais ameshindwa kukiendeleza chama na kinaelekea kumezwa au kufa kabisa.

Mytake: Hamad Rashid mbona alikuwa anaitetea sana serikali ya mseto? Je, hakujua madhara yake?

Source:Tanzania Daima la Leo 25.05/2011 Hamad Rashid Kitanzini
 
Sasa hivi hana posho na bling bling ya 'kiongozi' wa kambi ya upinzani so plan B ni kumng'oa Maalim Seif.
 
Tulisha wahi kusema hapa kuwa ana uchu wa madaraka. Alishakubali ndoa hawezi kuivunja maana wananchi ndio walitoa mahari. Yeye atulie tu.
 
Nani sasa kaingiza mdudu kwenye nyumba ya mke wa Chama cha magamba? Mtasema CDM!!!
 
Huyu Hamad Rashid aliongelewa sana na Marehemu S. Katabalo RIP enzi zilee za Gazeti Maarufu la Mfanyakazi kuhusiana na Mambo ya Loliondo kuuzwa kwa waarabu....nahisi hajabadilika kwa kujiunga na CUF.
 
Mkuu sio yeye,huyo alikua anaitwa JUMA HAMAD OMAR,mpemba mmoja mfupi mweupeee,siku hizi kawa mvuvi
 
hawakujua kama maalim alikuwa anataka atambulike, cuf ndo imekwisha

Watu munatakiwa kujua kua zanzibar ya sasa hatuhitaji sana vyama vya siasa tunahitaji maendeleo zaidi.

Kule zeji watu wameshashituka sasa na nyinyi Tanganyika mkikua mutatuelewa na huenda mukafuta hizo njia tutakazopita.

Nasema haya kwakujiamini kwani kila nikiiangalia Tanganyika naiona zanzibar yazamani imehamia huko(wanasiasa kupigana,viongozi kuzomewa,wafuasi wa vyama vyaupinzani kusweka ndani bila ya kesi,maandamano yasioisha,risasi nje nje polisi kuwapiga raia n,k) Hivyo ndivyo ilivyokua zanzibar ya 1995-2005.

Kwasasa hatujajuta bado na tunatamaa kubwa ya maendeleo ya wananchi na sio ya vyama,huenda sikuza mbele vyama vikakosa soko Zanzibar.
 
Hamad Rashid anadaiwa kupanga mkakati wa wa kumuengua Maalim Seif kwa madai kwamba tangu aingie kwenye Serikali ya mseto kama Makamu wa kwanza wa Rais ameshindwa kukiendeleza chama na kinaelekea kumezwa au kufa kabisa.

Mytake: Hamad Rashid mbona alikuwa anaitetea sana serikali ya mseto? Je, hakujua madhara yake?

Source:Tanzania Daima la Leo 25.05/2011 Hamad Rashid Kitanzini

Hiyo si ndo serikali ya mseto waliyokuwa wanaitetea?
Hamad Rashid hana lolote ni uchu tu wa madaraka unamsumbua.
Baada ya kuikosa kambi rasmi ya upinzani, sasa ameamua hayo.
 
Watu munatakiwa kujua kua zanzibar ya sasa hatuhitaji sana vyama vya siasa tunahitaji maendeleo zaidi.

Kule zeji watu wameshashituka sasa na nyinyi Tanganyika mkikua mutatuelewa na huenda mukafuta hizo njia tutakazopita.

Nasema haya kwakujiamini kwani kila nikiiangalia Tanganyika naiona zanzibar yazamani imehamia huko(wanasiasa kupigana,viongozi kuzomewa,wafuasi wa vyama vyaupinzani kusweka ndani bila ya kesi,maandamano yasioisha,risasi nje nje polisi kuwapiga raia n,k) Hivyo ndivyo ilivyokua zanzibar ya 1995-2005.

Kwasasa hatujajuta bado na tunatamaa kubwa ya maendeleo ya wananchi na sio ya vyama,huenda sikuza mbele vyama vikakosa soko Zanzibar.

Basi si mngeanza utaratibu wa kuvifuta hivyo vyama vya siasa kama kweli hamvihitaji.
 
CUF wanavuna walichopanda. Kwamba CUF kiliingia chumba cha wagonjwa mahututi pale ilipofunga ndoa na CCM.
 
ukikubali kuolewa, basi usilale na jeans, lala na kanga moja tu, cuf kwisha maskini wa visiwani hawana watu wa kuwasemea sasa

Sasa nimeelewa ni kwanini Chadema walikataa kushirikiana na CUF. Du, kweli CDM wanaona mbali, CUF kwishney utadhani haipo.
 
kumbe source ni mouthpiece ya MAGWANDA!

Hizi propaganda za wanamagwanda tu.........................
 
Kwa hakika tunatoa pongezi kwa aliyeweka hii. safi sana. Sasa ni wakati wa kufungua macho na kujihadhari na watui wenye uchu wa madaraka. Alichokuwa akililia miaka yote akiwa kiongozi wa kambi ni serikali ya kitaifa. Sasa imekubalika ubinafsi unachukua nafasi. Sasa tuwaweke wapi hawa viongozi wa vyama? Inaelekea kila anayepiga kelele chama chake kikubalike maslahi anataka yeye kwenza. Sasa tutafika. Tuwakatae kabisa viongozi wa aina hii.
 
Back
Top Bottom