Hamad Rashid (CUF) na Ole Sendeka on TBC1

Sendeka anaumwa? Hivi kwanini wanashikilia kuwa ni CCM iliyoruhusu vyama vingi?

Hawajui hata kama watanzania 20% ndo walitaka vyama vyingi, kwa njaa zao walilazimishwa na mataifa ya nche, either to go for multiparty or cut all assistance, eti kwasababu ya busara ya tume ikamshauri raisi tuingie vyama vingi, wangekataa wangeona kama wangepata misaada
 
Sasa nani ateue?.....
Mbona hamjibu hili?

Wadau wa katiba wapendekeze majina na kisha rais ateue miongoni mwa hao waliopendekezwa, hapo ni mwanzo mzuri usio na kwere!
 
Katiba itayozaliwa kutokana na huu mchakato itakuja kuwa mbovu kuliko hii ya Msekwa tulityonayo sasa.
 
Hawa TBC1 kwa nini wasiwainvolve CDM au NCCR ili kuboresha mjadala huu

" nature ya watu wanaowatumia kujadili suala hili haionyeshi umakini wake nasema hivi kwa sababu Lissu amekuwa gumzo bungeni na CDM yake sasa kwa nini asiitwe yeye aje aeleze kwa undani maana ya kauli yake au akosolewe peupe "

Hii ya kuwatumia kila siku CCM & CUF eg jana hainogi kabisaaaa badilisha ladha

Hawawezi kuruhusiwa kufanya jambo hilo na serekali ya Magamba kwa kufanya hivyo kumwalika Tundu Lissu Pamoja na hao maamuma ni kuuelimisha Umma ukweli juu ya propaganda zao Serekali ya CCM, kimkakati kwa makusudi hawataki wanannchi kuujua ukweli wanachotaka wao ni kuwafanya Wadanganyika na kuwatia hofu na kupotosha juu ya jambo ambalo lipo wazi kwa kila mwenye akili timamu kuwa mswaada huu sio sawa!!!!! Na ukipita kule mbele utaondoa kabisa uwezekano wa kuwa na katiba yetu Mpya aliyoandaliwa na wapanzania weneyewe bila mizengwe.......ushauri wa Bure kabisa walipewa na prof wa Kenya kwenye kipindi cha J5 jioni BBC....Kuwa hawa CCM wasijione kuwa wapo wengi bungeni wakaamini kuwa wingi wao ndio turufu yao kufanya kila wanalotaka kwa maslahi yao.....hiii itatulea vurugu na umwagaji wa damu...Prof yue akaongea Tanzania kufunzeni kutoka Kenya....1998 Bunge la Kenya lilikuwa na Wabunge wengi wa KANU lakini hii haikuwasadia kuamua vile wao wanapenda iwe na ikawa walikwama....Sasa kwa jambo hili hata ninyi CCM hakika mtakwama....na mtasababisha vurugu na umwagaji wa damu....endeleeni kama manaona ni sawa na mpitishe huu mswaaada!!!!!
 
Katika vitu vinaniboa ni hii habari kuwa vyama vingi 20% ndio walikubari cyo kweli hata! Mbona mm ckuvote?
 
Hawakuitisha mjadara wa jitaifa na kula walipigia ofice za cc.. Cc hatukuhirikishwa! Ila takwimu zilitoka! Cyo kwelihata
 
Back
Top Bottom