Hamad Rashid (CUF) na Ole Sendeka on TBC1

Nani ateue wagombea?

hilo swali la kujadili. Bunge ndo wangetumia nafasi hiyo kujadili na kuweka utaratibu wa uchaguzi. Ingekuwa hivi:
1. Nafasi za vyama vya siasa ikiwa ni mjumbe 1 kila jimbo. Wananchi wapige kura kama tunavyofanya kwa wabunge

2. Nafasi za makundi mbalimbali. Vikundi hivyo vipewe fursa ya kuchagua na wathibitishwe na bunge.

3. Kuna watu jamii inawatambua basi serikali itengeneze utaratibu watu wapendekeze na wathibitishwe na bunge hapaa naongelea jamii ya watu kama shivji,
 
Hapana mkuu. Ila ukweli unabaki palepale, CCM iliridhia uwepo wa vyama vingi kinyume na referrendum.
Mkuu,

Naamini ulikuwa mtu mzima miaka ya 90, unakumbuka balozi wa Marekani na wa Uholanzi nyakati hizo walikuwa kina nani? Au tusubiri WikiLeaks waandike nini kilijiri?
 
Mbona hawasemi sababu zilizopelekea wao kulazisha kuwa na vyama vingi?ijapokuwa wananchi walikataa kwa asilimia 80%?

Simply ni external forces.
Then waanzie kutuambia hapo hizo external forces ni za kutoka wapi?
IMF and World Bank (Mtei???).
 
Wanatia kinyaa,nilijuwa nawaangalia mpaka ladha ya chai iliisha kinywani!huyu mmaasai ni bweche,hana lolote.
 
Hao wote wametumwa. Ila sasa tumeshabadilika na wananchi wanelewa siku hizi. Kila mwenye uelewa awaelimishe watu wake wasikubali tena kudanganywa na CCM. Enough is enough...
 
hilo swali la kujadili. Bunge ndo wangetumia nafasi hiyo kujadili na kuweka utaratibu wa uchaguzi. Ingekuwa hivi:
1. Nafasi za vyama vya siasa ikiwa ni mjumbe 1 kila jimbo. Wananchi wapige kura kama tunavyofanya kwa wabunge

2. Nafasi za makundi mbalimbali. Vikundi hivyo vipewe fursa ya kuchagua na wathibitishwe na bunge.

3. Kuna watu jamii inawatambua basi serikali itengeneze utaratibu watu wapendekeze na wathibitishwe na bunge hapaa naongelea jamii ya watu kama shivji,
BUNGE = ccm.
 
Ina maana wote hawa wamekuja kutoa ufafanuzi wa kama wanajadili Katiba Mpya au mchakato?

Inakuwaje wanafanana mawazo (CCM na CUF)?

Mtangazaji anawauliza maswali elekezi na wao wanajibu yale waliokesha wakikariri jana usiku. Kali kuliko yote olesendeka kahitimisha kwa kuwaomba cdm warudi mjengoni wasiende kuwashitaki wabunge kwa wananchi. CDM wakijidnganya waka kubaliana na ushauri huu watakuwa wameliwa, tena kuliwa masaburi kabisa.
 
Sasa nani ateue?.....
Mbona hamjibu hili?

Ngoja nikupe uzoefu wa Kenya:
Kule kenya Rais alipewa nafasi kumi za kuteua, asasi za kiraia na makundi mbalimbali wakateua wawakilishi wao (kulingana na vigezo na sifa zilizoainishwa) na wote hao walienda kuthibitishwa bungeni. Hiyo ni tofauti kabisa na hii ya Rais kuteua wajumbe wa tume ambao uteuzi wake ni wa mwisho hakuna wa kuhoji.

Hadidu za rejea ziondolewe mikononi mwa rais kwani tume haipaswi kuwajibika kwa rais bali kwa wananchi. Hadidu za rejea ziwe sheria katika muswada ili wananchi wawe na sauti katika matokeo ya mchakato huu.

Hayo ni machache tu!
 
Mtei ndo external forces?
Pevuka ndugu yangu!
Kwani external forces hizo ni zipi?... bahari au?
Mtanzania aliyeshupalia utekelezwaji wa matakwa ya IMF na WB alikuwa ni nani?.... kamuulize kama leo anayakubali au kuyapinga.
 
Bunge litapitisha tu..... acheni kupoteza muda, focus iwe kwa wananchi kukataa au kukubali through referrendum.
 
Mkuu,

Naamini ulikuwa mtu mzima miaka ya 90, unakumbuka balozi wa Marekani na wa Uholanzi nyakati hizo walikuwa kina nani? Au tusubiri WikiLeaks waandike nini kilijiri?
What are you trying to say?
 
Kwani external forces hizo ni zipi?... bahari au?
Mtanzania aliyeshupalia utekelezwaji wa matakwa ya IMF na WB alikuwa ni nani?.... kamuulize kama leo anayakubali au kuyapinga.

We unazungumza.kwa nafasi aliyokuwa nayo mtei lazim angeshauri hivyo.
Kwan IMF NA WORLD BANK hazifanyi kazi nchin?(kama watoa mikopo katika miradi ya maendeleo)?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom