JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
JOKAKUU KAMA utaratibu ni huo kuwa SPIKA UCHAGUA wajumbe wa kamati, halafu wajumbe uchagua wenyeviti wa kamati zao. Inamaana
Naloli,
..kinachoshangaza ni hizi harakati za CUF kubadili kanuni baada ya CDM kupata uhalali wa kuwa chama kikuu cha upinzani. uhalali huo umetokana na kura za wananchi.
..muungano wa vyama vya upinzani unaopigiwa chapuo na CCM ni wa kuuangalia kwa mashaka sana.
..kilichotokea ni kwamba CCM wamezivunja nguvu kamati za kuisimamia na kuichunguza serikali kwa msaada wa Kafulila na Hamad.
..CUF wamejidhihirisha kwamba hawana nia nzuri na CDM. kumbuka jinsi walivyovamia viti vya wabunge wa CDM baada ya wabunge hao kususia hotuba ya JK. vilevile CUF walimnyima kura, Mabere Marando, mgombea Uspika aliyependekezwa na CDM.
Naloli said:SPIKA hakuwachagua HAMAD NA KAFULILA katika zile kamati tatu ambazo wenyeviti wake ni lazima watoke upinzani, hivyo hajamaa hawakuwa na nafasi ya kugombea uenyekiti ktk kamati hizo? kama ni hivyo basi HOJA ingekuwa SPIKA KAWATOSA HAMAD NA KAFULILA maana hakuwaingiza ktk kamati hizo hivyo hawakuweza kugombea kwa kuwa si wanakamati wa kamati hizo.
Lakini ni vyema tupate utaratibu wa kuwapata wenyeviti wa kamati hizo tatu, na ikithibitika HAMAD na KAFULILA walithubutu kugombea na wakatoswa basi ndio watu waanze kuwabeza lakini si mtu anatunga THREAD na kuituma humu JF halafu watu wanaanza kushambulia tu, tufanye utafiti japo kidogo kuhusu uchaguzi wa hizi kamati na upatikanaji wa wenyeviti wake ndipo tuanze ushabiki