Hamad rashid atahamia adc lini?au ndo kawatosa wenzie?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Nimeshindwa kuelewa kelele na mbwembwe za muasisi mahsusi wa adc mbunge wa wai kupitia mahakama mh.hamad rashid zimeishia wapi kwani kwa sasa simsikii tena akiitaja adc wala akijaribu kuwasaodoa wale walioondoka nae cuf kwa lengo la kuanzisha adc.ama kweli posho tamu kwani hamad rashid kashindwa kabisa kutekeleza lile aliloahidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom