Hamad Rashid amuumbua Maalim Seif; agoma kuhojiwa!

Kweli wao wan a dola sisi tuna Mungu tangulia hamad rashid tulikupenda sana lkn tango uliposaliti nguvu ya umma Siasa uchwara na kujivua gamba jipya lijulikanalo kama uanachama lilikupenda zaidi Kweli wao wana Dola Sisi tuna Mungu Nikilinganisha ya kafulila na haya ya hamad nazidi kuikubali hii kauli na Mungu analipa hap a hap a. tangulia Hamadi siku si nyingi wanakukafulila na ndio mwisho wake kisiasa. Kumbuka tulikupenda sana lkn tango uliposaliti nguvu ya umma Siasa uchwara na kujivua gamba jipya lijulikanalo kama uanachama lilikupenda zaidi tunajiandaa kuweka mchanga kwenye kabuki lako la kisiasa Msaliti wa Umma kamwe hatakaa afanikiwe
Kweli Mung ni mwema Tangulia Hamad uliisaliti Nguvu ya umma Bungeni
 
BAKWATA inahusiana vipi na hawa? kuna watu wanaoendesha serikali utawasikia tu " fulani amekemea hili" fulani amekemea lile! kwanza kwa taarifa tu BAKWATA sio chombo cha waislamu wale wapo kwa maslahi yao na matumbo yao! kama ingekuwa ni uwezo waislamu wangeitoa siku nyingi!

BAKWATA ni kitengo cha propaganda cha CCM, na hawa wanaogombana ni wana CCM ndiyo maana nawashangaa kwa ukimya wao. BAKWATA vuvuzela la JK na kamwe hawako kwa maslahi ya waisalam na Uisalamu.
 
Back
Top Bottom