Hamad, Cheyo, Mrema: WanaCCM ndani ya Upinzani...

Yupo TLP (Tangatanga Lala Popote), yeye hanachama, popote atakapopata ubwabwa atalala, ndio chama chake!
 
Tanzania ni nchi tajiri sana ila ina umaskini mkubwa wa kuwa na viongozi bora, tatizo haina viongozi bora.
 
Mwacheni atumie haki yake ya kidemokrasia. Kama bajeti imepita, kutompongeza waziri kunabadilisha nini?
 
acha siasa za chuki wapinzani wameshindwa bajeti unataka anune kama wewe ye kawa muungwana kakubali matokeo sio kila jambo kupinga tu! mrema anaonyesha njia nzuri, hao mawaziri ni marafiki zake kafanya nao kazi muda mrefu kusalimia sio kosa, acha chuki tumia akili.
 
Back
Top Bottom