Hamad, Cheyo, Mrema: WanaCCM ndani ya Upinzani...

mrema.bmp
 
mmmh! Mrema? Yan huyu uwezo wa kufikiri sasa ni zero anatumia tu hisia! mbunge ambae hajulikani yupo upande gani? wa serikali au upinzani? hajui anakoelekea, yan amepoteza dira anasukumwa na upepo tu! unakoishia ndo mwisho wa safari yake!
 
Huyu mzee,uzee unamchukua vibaya,anazeeka mpaka fahamu zinaanza potea taratibu kama maumivu ya kichwa yanavyoanza
 
Hata hao wanaomsakama walitakiwa kujua kwamba jamaa sasa ni senile. Hata hivyo chama chenyewe bila yeye kwisha!
 
Mzee wa kiraracha kachoka kweli lkini wamama wa jimbo la vunjo hawaelewi kitu juu ya huyu mzee, mikakati ya kumtoa kama ipo inapaswa kuanza sasa

the man kama mna mikakati mmechemsha........! GO ON MREMA
 
Ndugu wanaJF wenzangu kwa wale ambao walikua wanapata shida yakujua muheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema ni mwenyekiti wa chama gani au ni mwanachama wa chama gani basi soma gazeti toleo la leo la Mwananchi alhamisi ukurasa wa mbele utakuta picha inayomuonyesha waziri wa fedha na uchumi ndugu Mustafa Mkulo akipongezwa na wabunge pamoja na mawaziri wote ni kutoka chama CCM baada ya kupitishwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2011 - 2012 mjini Dodoma akiwapo muheshimiwa Lyatonga Mrema. Ndugu mwanaJF usipate shida kujua huyu Mmarangu yuko upande gani kwakua kwenye picha hiyo hakuna muheshimiwa yeyote wa upinzani kasoro yeye! Picha nitawaletea baadae au kama kuna mwenye picha gazeti Mwananchi tarehe 23/06/2011 achangie ili ukweli ueleweke.
Mrema.jpg
 
Ndugu wanaJF wenzangu kwa wale ambao walikua wanapata shida yakujua muheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema ni mwenyekiti wa chama gani au ni mwanachama wa chama gani basi soma gazeti toleo la leo la Mwananchi alhamisi ukurasa wa mbele utakuta picha inayomuonyesha waziri wa fedha na uchumi ndugu Mustafa Mkulo akipongezwa na wabunge pamoja na mawaziri wote ni kutoka chama CCM baada ya kupitishwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2011 - 2012 mjini Dodoma akiwapo muheshimiwa Lyatonga Mrema. Ndugu mwanaJF usipate shida kujua huyu Mmarangu yuko upande gani kwakua kwenye picha hiyo hakuna muheshimiwa yeyote wa upinzani kasoro yeye! Picha nitawaletea baadae au kama kuna mwenye picha gazeti Mwananchi tarehe 23/06/2011 achangaie ili ukweli ueleweke.

Mkuu mi nilijua ukweli unao kumbe na wewe unautafuta, watanzania watu wa ajabu sana.
 
Ndio maana nimeainisha kua mwenye kutaka kuchangia achangie! Au wewe ni mmoja wa wale waliojivua Magamba? wacha pumba!
 
alipiga kura ya hapana kwa hiyo alikuwa anampongeza kwa bajeti ya kimagumashi
 
Ndugu wanaJF wenzangu kwa wale ambao walikua wanapata shida yakujua muheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema ni mwenyekiti wa chama gani au ni mwanachama wa chama gani basi soma gazeti toleo la leo la Mwananchi alhamisi ukurasa wa mbele utakuta picha inayomuonyesha waziri wa fedha na uchumi ndugu Mustafa Mkulo akipongezwa na wabunge pamoja na mawaziri wote ni kutoka chama CCM baada ya kupitishwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2011 - 2012 mjini Dodoma akiwapo muheshimiwa Lyatonga Mrema. Ndugu mwanaJF usipate shida kujua huyu Mmarangu yuko upande gani kwakua kwenye picha hiyo hakuna muheshimiwa yeyote wa upinzani kasoro yeye! Picha nitawaletea baadae au kama kuna mwenye picha gazeti Mwananchi tarehe 23/06/2011 achangie ili ukweli ueleweke.
Mrema mwacheni apumzike na posho yake ya ubunge amekwenda kwa babu hajapona,awaachie wakina lissu,zitto nk.wafanye kazi
 
Back
Top Bottom