Haluwa Haina Makombo.

Diamond rizika tuu,umeshalamba mzigo inatosha,hata hivyo jimama hilo litakuzeesha buree!
 
Hapo wanasubiri zao ndege waendage visiwa vya bahamas.....wanawaacha wachimba chumvi mkiwa mnajadili mambo yao jf.....
 
wemaaa.jpg
Dogo na wewe malizia malizia
 
Kweli huyo kitu huwa haina makombo ila ukitawaliwa na wivu lazima utahisi uliyonayo ni makombo na ukizidi zaidi utachimba mpaka utaona ni matapishi na si makombo tena ila kimsingi HUWA HAKUNA MAKOMBO other wise usinge zaliwa unadhani aliyekuleta hapa duniani alikutwa BIKRA na baba yako. MAKOMBO MAKOMBO acheni fikra za kipumbavu za kurudishana nyuma huyo ni Wema mtu maarufu hapa bongo ndio maana tunajua uchafu wake ila umeshakaa ukajiuliza kuhusu uchafu wa demu wako tusiyemjua na madudu yake ya gizani...unaweza kuta ni kinyaa kuliko hayo ya wema....acheni upuuuzi. MCHEKI DEMU WAKO VIZURI UNAWEZA KUTA ANATOA TENDE PALE SEWA BAR

Punguza hasira kiduchuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!! Lakini umempa ukweli eeehhhhhhhh!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom