chochote kisicho na kilevi!hata togwa will do fine!
sitakusahau kwa kuniwekea senkyuu yangu ya kwanza hapa JF.barikiwa!
poa napata lemon water uliyonipatia huku nikijaribu kuitafakari signature yako lakini sipati jibu,any ufafanuzi pliz mana mi naona bichwa lenye upara ukilipitishia chanuo si litachubuka!?karibu! nime do ze neediful again! pata maji ya limao basi
poa napata lemon water uliyonipatia huku nikijaribu kuitafakari signature yako lakini sipati jibu,any ufafanuzi pliz mana mi naona bichwa lenye upara ukilipitishia chanuo si litachubuka!?