rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,130
- 4,620
kwa mshangao mkubwa kabisa napata shida ya kutafuta matokeo ya mwanangu aliyemaliza darasa la saba. Halmashauli nyingi hazina website na zilizo na website hawajeka. Halmashauri hizi hutengewa kiasi kikubwa sana cha hela kwenye idara zao za kompyuta. Wadau nauliza tatizo ni nini kwa nini kila halmashauri isitengeneze site yake na matokeo kutupia hapo kwenye mtandao????