Halmashauri yatumia milioni 4 kufuatilia bajaji ya wajawazito

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Ule mpango wa kuimarisha huduma za usafiri mama mjazito umeanza kutekelezwa,mpango huu unahusisha halmashauri kupatiwa bajaji zitakazotumika kama ambulance.
Kuna mdau mmoja kutoka halmashauri moja amenieleza wametumia sio chini ya Tsh.milioni 4 katika kufuatilia bajaji 1 kwa ajili ya kituo cha afya.
Ndugu kwani bei ya kile kibajaji kimoja ni sh ngapi?
Mpango huu hautachangia kupoteza mamilioni ya walipa kodi burebure?
 
Back
Top Bottom