Halmashauri ya Wilaya ya Monduli; hiii haipendezi

mzizi dawa

Senior Member
Mar 1, 2012
118
12
Alimashauri ya wilaya monduli miaka mitatu ilipita walitenga eneo la viwanja kwa wakazi wa kata ya mondumjini,baada ya wakazi wachache kukosa viwanja kwenye eneo la awali lililotwengwa,eneo la awali uwalichezeka mchezo mchafu kwaaliekua diwani wa kata monduli mjili kua na viwanja zaidi ya 20 nakuwamilikisha vingine watu wakaribu yake.ivi vasasa mbunge wa MONDULI EDUWADI LOASA ana viwanja 70 na dada yake ana viwanja 30,vilivo baki walipewa waliokosa kwenye viwanja vaawali na vingine walipewa makada wa CCM uku wale walio onekana kwenye uchaguzi mkuu ulie pita kua walikua wafuasi au walipiga Kura CHADEMA hakuna ata mmoja aliepata kiwanja.JE HII INATUFUNDISHA KUA TANZANIA NIYA WANA CCM PEKEE!!!
 
Chini ya sred kuna kitufe cha Edit, embu kibofye urekebishe baadhi ya matamshi sahihi ya Kiswahili pamoja Na Jina la huyo mheshimiwa unayemnanga.. Lakini pia manispaa za Miji zina oridha ya viwanja Na wamiliki wake, ungepitia huko ungemwaga ushahidi mzuri.. JF ni kajukwaa Kwa watu wastaarabu Na makini wanaopenda maada zilizokamilika.. Pia jua Jamvi hili si mali CCM Wala CDM wala CUF, Ni Jamii Forums for Forums
 
mods huyu uzi umekaa kimajungu na kidaku zaidi,angalau jaribu ku edit huu udaku kdg ulete maana
 
ni kawaida yake bwana maumvi kujilimbikizia. kwangu mimi hakuna habari mpya, kwani hayo ndo matarajio yangu siku zote.
 
Nilidhani ni Sehemu ambazo hakuna wapiga kura wake, kumbe hata Monduli?
The way the cookie crumbles.....
 
Back
Top Bottom