Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni - Orodha ya kero zenu

PatPending

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
491
101
Kama kawaida sisi binadamu hutambua kasoro zaidi ya yale yalio sawa. Vifuatacho hapa naomba kisiwe kigezo pekee cha kutathmini utendaji wenu wa kazi ila nashauri myape uzito husika na yachukulieni kama changamoto ya kutekeleza wajibu wenu kwa wananchi.

1) Barabara zenu zimejaa mashimo sana na pia ni chafu kupindukia mfano mzuri ni barabara ya zamani ya Bagamoyo

2) Mitaro yenu ni michache na ile iliyopo ipo katika hali duni sana kwa maana ya kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara, hali ambayo imepelekea mingi kuziba na kuwapa kero kubwa wananchi

3) Barabara zenu pia ni chafu kupindukia. Zimejaa michanga na takataka nyinginezo

Wadau kuweni huru kuongezea kero orodha ya kero hizi
 
yaan hii mcccccccmmmmmmmmmmmm jaman mwenzenu ciipendiiiiiiiiiii hata cjui ikojeeeeeeeeeee
 
1.Ma-Bar na Crossary maeneo hasa ya cnza na k'ndoni 2.Inaongoza hasa kwa ukahaba maeneo kama vile meeda, afr sana na kwingineko 3.Matajiri wa madawa ya kulevya................. na vurugu mechi nyinginezo kama....... .ongezea na nyingine
 
Back
Top Bottom