Halmashauri ya Jiji la Dar kuvunjwa sooooooooooooooon!!!!

Kiroroma

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
370
114
Habari hii kama ipo pengine ndani ya JF Mode utanisaidia kuihamisha kwenda panapohusika.Taarifa ya kwamba Jiji la Dar Es Salaam chini ya Halmashauri (DCC) LINATARAJIWA KUVUNJWA SAA NA WAKATI WOWOTE KUPISHA Manispaa husika kufanya kazi pasipo kuingiliwa na mamlaka nyingine.Kuvunjwa kwa Halmashauri ya Jiji kunaathiri pia madiwani waliokwisha kuchaguliwa wakisubiria UMEYA wa Jiji hilo. Muda huu ninapoaandika ujumbe huu Mkurugenzi wa Jiji Bwana Bakari Kingobi yupo Dodoma kujaribu kushawishi waheshimiwa wabunge jinsi gani wapambane lisivunje.
 
Fafanua inavunja kwa sababu sheria iliyoanzisha Halmashauri ya jiji nayo imefutwa au jiji limeshushwa hadhi na kuwa Manispaa?
 
Back
Top Bottom