Hallow great thinkers,

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
:boom:A man and a woman are walking together,the mother in-law of da man is da mother of da woman's mother in-law.So how are they related?Show u're social knowledge
 
Aisee binti kaolewa na mtoto wa dada yake..Un believable!!!

Mama hapo ni mmoja, kamzaa muolewaji, halafu kazaa binti mwingine aliyefanikiwa naye kuzaa mtoto wa kiume. Huyu mtoto wa kiume kaamua kwenda kumuoa ma mdogo wake....lol
 
Soma na tafakari sana,utagundua kuwa ni mtu na baba Mkwe wake.Mama Mkwe wa huyu mwanamke ni mke wa huyu mwanamme
 
Hallow guys,kimya sana!!!!hawa ni mtu na baba Mkwe wake.Mama Mkwe wa mwanamme ni mama wa mama Mkwe wa huyu binti,hivyo mama Mkwe wa huyu binti ni mke wa huyu mwanamme.meet u baadae
 
Back
Top Bottom