Haliniishi moyoni...

Annina unajua maana ya kusamehe?
Kama unajua maana yake na kweli umemsamehe basi mkaribishe shangazi yako.

Annina unamwamini mchumba wako?
Kama unamwamini mchumba wako basi mkaribishe shangazi yako.

Siku zingine mpwa utafikiri sio wewe,maneno machache yenye ujumbe mzito.Aninna X-pin gave you a way out of your problem,kwani usipokuwa makini hautakuwa na amani milele.
 
Pole sana Annina..Pole kwa kuumizwa hivyo, imenigusa sana moyoni rafiki yangu.

Nadhani jambo la msingi, kama ulimsamehe kikweli, mkaribishe nyumbani, lakini umwambie b/f wako asije nyumbani muda wote huo, maana anaweza kumnyakua huyo!

Bora muwe mnakutania kwa b/f wako kuliko hapo kwako.Lakini katika kukaa nae usikumbushe yaliyopita, we kaa kimya kama kobe anaetunga sheria, na akianzisha maneno hayo we nyamaza tu!

Miezi 9 si mingi, atamaliza na kuchapa zake mwendo, na atakuachia amani yako.

Lakini pia kama ana akili, kweli anaweza kurudia kosa ZITO NAMNA HIYO?

All in all, you forgave, then forget!
Hapo kwenye red: Unless hamwamini boyfriend wake. Otherwise huo utakuwa utumwa!
 
My dia najua jinsi inavyouma hasa kusalitiwa na mpz,mm naona msamehe maadam ulihsasamehe,mkaribishe nyumbani kwako na na ikiwezekana na mpz wako pia mwambie aje!Imay sound stange to some pple but ol I knw is kama Mungu kapanga ulie nae sasa awe wako atakuwa tu.ktk maisha hutakiwi kuwa na wasiwasi kama digidigi!cha muhimu ni ww kujiamini,then utawaamini wengine,kama litatokea lolote tena usife moyo,he wasnt ment for u!God will make a way
 
[/B]
Siku zingine mpwa utafikiri sio wewe,maneno machache yenye ujumbe mzito.Aninna X-pin gave you a way out of your problem,kwani usipokuwa makini hautakuwa na amani milele.
Hehehe! Ukiona hivyo ujue jana niliutandika mtindi wa kutosha. Nikiwa na hangover kichwa changu huwa kinakuwa na hekima sana! Hahahaha! SENKSI!
 
Hapo ndo unafki na roho mbaya inaonekana anina.
Kama kweli ulimsamehe kutoka moyoni kwa nini kuonyesha sura ya kondoo wakati ww ni chui? majaribu ya mwenyeezi Mungu think twice!!:D

Btw usiwe unambania saaaaana bf wako atakucheet tu.
 
My dia najua jinsi inavyouma hasa kusalitiwa na mpz,mm naona msamehe maadam ulihsasamehe,mkaribishe nyumbani kwako na na ikiwezekana na mpz wako pia mwambie aje!Imay sound stange to some pple but ol I knw is kama Mungu kapanga ulie nae sasa awe wako atakuwa tu.ktk maisha hutakiwi kuwa na wasiwasi kama digidigi!cha muhimu ni ww kujiamini,then utawaamini wengine,kama litatokea lolote tena usife moyo,he wasnt ment for u!God will make a way

Leo mama umemwaga pointi kama mseminaristi. Umeona Senksi kule?
 
Hapo kwenye red: Unless hamwamini boyfriend wake. Otherwise huo utakuwa utumwa!

Na kama atakuwa hamwamini b/friend wake kwa shangazi yake basi huyo uwezi kumuamini tena,Na huyo shangazi ana nini hasa cha kumuwezesha kuchukua kila b/friend wa Aninna.Unless kama bado haujamsamehe.
 
Hehehe! Ukiona hivyo ujue jana niliutandika mtindi wa kutosha. Nikiwa na hangover kichwa changu huwa kinakuwa na hekima sana! Hahahaha! SENKSI!

Basi mie nilifikiri tofauti,nilidhani jana ulikuwa kwenye dozi ndo maana leo full kumwaga mapoint,kumbe salaaale,ulilala hukohuko.
 
mkaribishe, sahau yote
hatafanya lolote baya.
kipindi kile hukuwepo ndo maana bwana yako alizini nae (fimbo ya mbali haiui nyoka)

mpokee tafadhali binadamu tumeumbwa kusahau
 
msamehe shangazi yako, am sure hatarudia tena, ila tu be careful usimuonyeshe mtu wako.
 
Na kama atakuwa hamwamini b/friend wake kwa shangazi yake basi huyo uwezi kumuamini tena,Na huyo shangazi ana nini hasa cha kumuwezesha kuchukua kila b/friend wa Aninna.Unless kama bado haujamsamehe.
You see? Leo umechukua sehemu ya nyama ya ubongo wangu.
Kama b/f wake si mwaminifu basi atakuwa anamega vimwana vingine kama kawa.
Sasa sijui kama Annina anahofu kwa shangazi yake tu au na kwa wakware wengine?
 
You see?
Kama b/f wake si mwaminifu basi atakuwa anamega vimwana vingine kama kawa.
Sasa sijui kama Annina anahofu kwa shangazi yake tu au na kwa wakware wengine?

Kwa hiyo unataka kusema ninadesa si ndio.Lakini inawezekana kwani tangu morning nahisi kama nina hangover flani hivi.
 
mzee wa live-band

si unajua wnd imefika na kesho church?lazima nijitakase

Basi mie nilifikiri tofauti,nilidhani jana ulikuwa kwenye dozi ndo maana leo full kumwaga mapoint,kumbe salaaale,ulilala hukohuko.

msamehe shangazi yako, am sure hatarudia tena, ila tu be careful usimuonyeshe mtu wako.

Naona Sredi limeshika kasi yake.
@Carmel: Hivi unamuonaje shangazi wa Annina? Mwizi wa bf wote wa Annina?
Mbona mnakuwa kama hamjawahi kucheat jamani? Eeeeh?
 
Mkuu hiki kitakuwa Kifungo cha Nyumbani kwake sasa, Namshauri Annina aufuate moyo wake unamwambiaje kama Bado ana Kinyongo atafute Njia Nzuri ya Kumpotezea, mojawapo ni kumwambia ninaishi Chumba kimoja na B/F
Sa N'U
Huoni kwamba japo tunaishi ughaibuni, MILA NA DESTURI za kwetu bado zinahold? Shangazi ni mhusika wa juu sana wa mila katika koo za kiafrika(japo alishamis'behave awali), je utamzuiaje shangazi kabisa kona mahali unapoishi na kukaa, kwa kisingizio kwamba ninaishi na b/f?..Huyo b/f kama ana heshima si ataondoka kwa muda kumpisha anti, kama mnaona wazo la kuhamia kwa kijana ni gumu?
 
Back
Top Bottom