Halima ndio nini sasa jamani tena?

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
[h=6]WE HALIMA MDEE SISI TULIKUPELEKA BUNGEN KUCHEZEA IPON NA FACEBOOK WAKATI WAZIRI MKUU ANATOA HOTUBA?? AIBU,KAMERA INAKUGANDISHA WEWE TU UNACHATI NA KUSINZIA..........[/h]mods msije mkaondoa hili bandiko
 
wasira%252520chapa%252520usingizi%2525204%255B1%255D.jpg




acha kuweweseka weka ushahidi.... masaburi bana
 
naona mtoa mada katoka kupata mataputapu akaona abandike tu mada bila ushahidi
aisee ni ulanzi au chimpongo?
 
Kwani Waziri Mkuu huwa anajipya la kusema bungeni zaidi ya kusema tunajiandaa, tuko kwenye mkakati, mchakato umeanza, tunalishughulikia.....
Hata kama ingekuwa mimi ni mbunge, ule mda wa PM kuongea, ningekuwa nalog in JGF nile news za maana
 
naona mtoa mada katoka kupata mataputapu akaona abandike tu mada bila ushahidi
aisee ni ulanzi au chimpongo?

Acha matusi kama wewe ulikuwa bizze kwenye daladala sisi wenzio tulikuwa ndani ya magari yetu tukila TV na tulimwona! Kwani aligandishwa kama dk 1 hivi. Kwa kuwa umezoea matapu tapu basi wadhania wote huyafikiria kama ilvyo kuwa kwako ehe! Acha mzaa na matusi. Hapa tunaongea tunachoona na si matusi, kwani huyo Halima "uliyemwezesha wewe" ni nani hata asifanye hayo? Tunajua alichokua anakifanya ni matatizo ya kuweka watoto katika nyadhifa hizi nzito. Kama ni usingizi wa Wasira ni tatizo lake la kutokubali kuwa amezeeka hivyo aachie ngazi! Jf ni mahali pa kusema ulichoonaau kusikia si mahali pa matusi.
 
WE HALIMA MDEE SISI TULIKUPELEKA BUNGEN KUCHEZEA IPON NA FACEBOOK WAKATI WAZIRI MKUU ANATOA HOTUBA?? AIBU,KAMERA INAKUGANDISHA WEWE TU UNACHATI NA KUSINZIA..........

mods msije mkaondoa hili bandiko

"Ipon" ndio mdudu gani tena?
 
iPon ndy mdudu gani?
Nashangaa unashangaa nini,hayo ndy maendeleo, ujue yukokazini masaa yote; kama umeona yuko fb ujue anawasiliana na wadau wa muhim kuhusu mambo ya mustakbari wa taifa. Kama wewe unatumia FB kutongozea wanawake, hiyo ni shauri yako!
 
[h=6]WE HALIMA MDEE SISI TULIKUPELEKA BUNGEN KUCHEZEA IPON NA FACEBOOK WAKATI WAZIRI MKUU ANATOA HOTUBA?? AIBU,KAMERA INAKUGANDISHA WEWE TU UNACHATI NA KUSINZIA..........[/h]mods msije mkaondoa hili bandiko

Umetumwa siyo?

Tuwekee na ushaidi twafadhali!
 
ninaomba ushhidi kwakweli maana wakati mwingine hizi zinaweza kuwa hisia tu za mtu mmoja... ukiwepo ushahidi nitasema neno
 
Back
Top Bottom