Halima Mdee: Wasichana msitegemee Rushwa ya Ngono kutimiza ndoto zenu za Maisha

everyone has a price, the issue is to know what it is.

Ni wanamme wangapi wamelipiwa na mafisadi na wanakuja hapa kuwasifia kwa kila hali?

Hao nao wanatofauti gani na hawa wanaotumia miili yao?

Ni wale wale tu.

Not every body, whether woman or a man!! wapo wenye dignities zao....
 
I don't care what she said. I have my own interior motive that why I ask. Is she single? Me Zakumi huge fan.

Anaweza kuwa single lakini sidhani kama nae ni mnofu wa kutafunwa.
 
gender is immaterial here, everyone has a price, just find out what it is.

Dignity ni reletive term, kwani ina kilo ngapi? Kusema ikipungua utajua kwamba huyu hana?

Not every body, whether woman or a man!! wapo wenye dignities zao....
 
hii mtafunaji lazima ashushie maziwa, vinginevyo anakufa kabisa.

Haifai kwa watumiaji wa kawaida.

Heeee umekula ban? Hehehee Lazima utakuwa ulitaka kutafuna minofu wewe. lol
 
alijidai kuuliza mswali ya minofu ya chicken wings na chicken T bone.

Kumbe pale hakuna minofu ni bones tu.

Heeee umekula ban? Hehehee Lazima utakuwa ulitaka kutafuna minofu wewe. lol
 
Hongera halima kwa kuwapa ukweli, ila na kule bungeni uwaeleze akina vicky wasitegemee kuchapwa nao ndio wapate viti maalum!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom