Halima Mdee sasa aukana uchumba wake na Joshua Nassari...

Akhaa Babu we!, sina wivu, but sikutegemea, the age nafikiri wamepishana sana, but it's ok, wamependana na wanelewana vizuri, hata kama alikuwa lesbian, no problem,mdomo nifunike kidogo!
 
Masikini Dogo Janja? Nilikuwa nishamuonea wivu hivoo, kweli kisicho riziki hakiliki.
haha haa ,haaa,,,,,
dogo ni mtani wa halima,,,halima alikua akitania tuu,,,,baada ya ccm kuifanya hoja kuwa dogo hana jiko,,,,halima kama mtan kwa asili na wameru,,,,,akaimaliza ishu,,,,atam back up dogo ,,,,,mission ikaitika,,,,sasa mnaokomalia mnamtania dada na mbunge wangu mwana mwema halima james mdee,,,,,,,halima wewe ni kifaa,,,,waache longolongo,,,waje waombe jiko,,,hizo oook,,,ookh ,,,ninini ,,waziache,,,ila tunakuombea upate mume mwema,,,maana its time na hivi ni mtumishi wa watu,,,na kizazi chetu hiki,,,yatasemwa,,,sasa sio njema,,,karibu ukubwani,,,,,,,isikufrastrate bure,,tunakuhitaji,,,,tena unajimbo la akiba kule same,,,usiache kuwajulia hali na kuwasemea ,,,,ni alternative yako,,,take it from mimi mwenyewe,,,mkizungo,,,,,,,
 
Ok, kumbe!

mdeenew_314_290.jpg

Halima Mdee terms marriage vows a political ploy...........

hii ni mbaya sana kwa Halima Mdee.................kumbe akiwa jukwaani huropoka tu na wala hajali kuwa anapotosha wapigakura ili mradi apate mkate wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuanzia sasa mimi kumwamini itakuwa ni vigumu kwa sababu sijui lipi lina ukweli na lipi anajiongelea tu ili mradi aambulie mkate wake...........lol.
Jamani lets not be naive!
Pamoja na kwamba mimi si mwana CDM sikutegemea wala sitarajii that beuty Halima Mdee aolewe na Joshua Nassari.

They are worlds apart, intellectually and in status.

As a matter of principle, women NEVER marry down, or to men who are lower then they are in status.

Hivi mnategemea kijana wa darasa la saba ataongea nini na msomi mzuri tena mwenye exposure to the world kama Halima.

Mimi siyo kwamba namdharau Nassari, bali please lets rate Halima better,mbunge wangu, afterall yuko wilaya ambayo as far as men are concerned she has a very wide and better choice.

Lets be fair to Halima.
I am one of her silent admirers, bahati mbaya tayari nimeoa, mambo ya kinyumba ni suala lingine na si siasa tu.

I wish Halima all the best.
 
Hivyo Joshua Nassari ni darasa la SABA?!

Kama unakubali hapo kwa red basi inawezekana pia halima na joshua kuwa pamoja kimapenzi maana hayachagui, Japo ni kweli wanawake wanapenda kuolewa na watu walio juu yao lkn c kila situation inatokea hiyo.
 
Mi sioni tatizo kwa Halima Mdee,maswala ya kimapenzi ni swala la mtu binafsia,not necessary to explain each & evry thins in public.Namkubali sana mwana dada huyu .
 
Nassari Hana ubavu kwa halima Labda awe mwosha vyombo wake wa kiume
 
Back
Top Bottom