Halima Mdee sasa aukana uchumba wake na Joshua Nassari...

una uhakika na uacho kinena?

Yaani umempatia sana kwa jibu hilo El Toro. Mie nina hakika huyo jamaa hana hakina na analonena sababu wewe sio mtoto wa kiume kama anavyosema, una kila dalili na tabia zinazoonyesha wewe ni mtoto wa kike kuanzia umbea wako, majungu, masengenyo, nk
 
Jamae mi napita tu hapa ila acha niache neno hpa, kama ni kwel nadhan ni jambo jema.
 
Zitto Kabwe na my wife wake na mtoto mmoja....angalia picha zilizopita humu..........
 
Yaani umempatia sana kwa jibu hilo El Toro. Mie nina hakika huyo jamaa hana hakina na analonena sababu wewe sio mtoto wa kiume kama anavyosema, una kila dalili na tabia zinazoonyesha wewe ni mtoto wa kike kuanzia umbea wako, majungu, masengenyo, nk

El toro ni mtu wa wapi?
 
Chama cha kiimla baba mkwe kampa uenyekiti mkaza mwanae,kaka dada wamepeana ubunge wa viti si ajabu hawa wakioana
 
It Took only a Joke on exchanging vows and now we have the Arumeru East Seat, It means Nassari and Mdee make a wonderfully winning pair. They should make the next important step by Marrying.:smile-big:Then we can have the whole Tanzania
 
I hate this! Ngono tu always waza ngono pepo chafu anakusukuma kuwashawishi na wengine wafanye uchafu
 
It Took only a Joke on exchanging vows and now we have the Arumeru East Seat, It means Nassari and Mdee make a wonderfully winning pair. They should make the next important step by Marrying.:smile-big:Then we can have the whole Tanzania

sasa wewe utakuwa matron au bestman!!!!!!!!!! watu mliozoea kuwa pembeni ya bw. na bi. Harusi hamuachi kujipigia debe.
 
Back
Top Bottom