Kikwete ndiye anakufanya uwe masikini?Linamaana Kikwete fisadi namba moja na nchi imemshinda ndiyo maana kila kukicha ni mguu na njia kwa wastani kasha zungukia nchi zote duniani mara 2.....huku nchi yake ikizidi kuwa masikini halafu hajui ni kwanini nchi yake ni masikini...
Kikwete ndiye anakufanya uwe masikini?
Kikwete ndiye anatakiwa ajue kwanini nchi ni masikini?
Wewe ni masikini?
hebu tuanzie hapo kwanza ili nijue nikushauri vipi!

Kikwete ndiye anakufanya uwe masikini?

Kikwete ndiye anatakiwa ajue kwanini nchi ni masikini?

Wewe ni masikini?

hebu tuanzie hapo kwanza ili nijue nikushauri vipi!

Kuna madiwani walikuwa wanakataa kutoa ardhi kwa wawekezaji ila kwa ufisadi wa serikali ukawapeleka marekani kwa mda na waliporudi wakapitisha ardhi za wazalendo kupewa wageni.

My take:

Amezungumzia mengi mfano hk 1 kulipiwa kodi kwa tsh 200 kwa mwaka ila kwa hili watanzania tumeshauzwa.

Nawasilisha
Tatizo la watu humu matatizo yao yote waliyonayo wanayarelate na Kikwete,Dah,yaani ukiwa jukwaa la siasa sijui akili hua
unaacha wapi Rejao,all in all kule kwingine ndo
kuna kufaa ila huku unatumia masaburi sana kufikiria
Hivi hamsikiagi joto kuvaa hayo magwanda?
Wananchi wake wa Kawe wanamatatizo chungu nzima yaliyo ndani ya uwezo wake kuyafanyia kazi, yeye anaendeleza umodel bungeni!!

Yote kwa yote,dada yetu Halima Mdee amewakilisha vyema na hilo vazi alilovaa liliwahi kuwa vazi rasmi la TANU enzi za harakati za ukombozi. Kile alichonena na vazi alilovaa vimefikisha ujumbe kwa watawala na watawaliwa.
majibu ya maswali yako toa hizo herufi zenye rangi nyekundu maana unaonyesha huna hata akili ya kukuwezesha kupenga hata kamasi....Kikwete ndiye anakufanya uwe masikini?
Kikwete ndiye anatakiwa ajue kwanini nchi ni masikini?
Wewe ni masikini?
hebu tuanzie hapo kwanza ili nijue nikushauri vipi!
Safi sana kamanda Mdee, hilo ndio vazi la kipganaji... Hakuna kulala mpaka kieleweke. Unafaa kuwa waziri
Kuna rais alisha wahi kukataa picha rasimi eti alitoka vibaya huku wanacnhi wake wanamatatizo chungu mzima huyo ni raisi wa nchi au sharobaro tu...Wananchi wake wa Kawe wanamatatizo chungu nzima yaliyo ndani ya uwezo wake kuyafanyia kazi, yeye anaendeleza umodel bungeni!!
Tuendelee kumpongeza kwa kujua kuvaa,.
Tatizo la watu humu matatizo yao yote waliyonayo wanayarelate na Kikwete,
tukumbuke kikwete ni mtendaji kama watendaji wengine serikalini!
Kwanini usianze kumlaumu balozi wako wa nyumba kumi kumi unakimbilia mpaka level ya raisi?
Kuna mabo mengi sana ambayo tuanaweza kuyatafutia ufumbuzi sisi wenyewe lakini tunataka Kikwete atusaidie!!
refer post no. 86majibu ya maswali yako toa hizo herufi zenye rangi nyekundu maana unaonyesha huna hata akili ya kukuwezesha kupenga hata kamasi....

Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.
Nawewe husikii joto na hicho kikoti cha mtoto...Hivi hamsikiagi joto kuvaa hayo magwanda?
Hivi sasa wewe unafikiria kazi ya Rais ni nini? Na kwa nini Marais wengine huwa wanaonekana bora kuliko wenzao??
Kumbuka JK alipoingia alisema msingi ameukuta yeye atajenga ukuta..... sasa huo ukuta aliojenga uko wapi.
Kumbuka JK alipoingia alisema maisha bora kwa kila Mtanzania..... sasa hayo maisha bora yako wapi?
Kumbuka JK............................ Hasira zimenipanda kujibu watu kama wewe, ngoja niepuke ban.
Tatizo Kikwte anajifanya anajua kila kitu halafu mbishi....mfano semina elekezi ni mfano hai aliouonyesha kuwa mawaziri, wakuu wa mikoa wake hawajui kazi mpaka awaelekeze...vinginevyo aliamua kuwatoa out..Tatizo la watu humu matatizo yao yote waliyonayo wanayarelate na Kikwete,
tukumbuke kikwete ni mtendaji kama watendaji wengine serikalini!
Kwanini usianze kumlaumu balozi wako wa nyumba kumi kumi unakimbilia mpaka level ya raisi?
Kuna mabo mengi sana ambayo tuanaweza kuyatafutia ufumbuzi sisi wenyewe lakini tunataka Kikwete atusaidie!!
Usichokijua usikiongee hapa,Kuna rais alisha wahi kukataa picha rasimi eti alitoka vibaya huku wanacnhi wake wanamatatizo chungu mzima huyo ni raisi wa nchi au sharobaro tu...