Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

Kweli sasa naanza kuamini JF ni outlet ya CHADEMA.

2naipenda wavua magamba ila wameshindwa kujishafisha kwa chadema ivi kama mzalendo unalipia kodi ya ardhi sh 10000 ila wakuja analipa sh 200 je unawaunga mkono ccm ama chadema nguvu ya umma?

Safi sana . Bravo Mdee
Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.

Viva Halima.

Ndio tatizo la wabunge wa "kupewa"! Yaani wewe unakuja humu kutueleza umefurahishwa na gwanda la mdee?
Ukombozi uko mbali na hawa kamwe hawawezi kuleta ukombozi!

Kazi yake ni kupiga picha na kutunza kumbukumbu za maandamano ya CDM, sasa naona amekuwa idle kidogo. Au inawezekana pia ni mbunge maalum kwa jamii forums.

Hivi hawa viongozi wetu kwa nini wana tamaa na ardhi hivyo. Wangekuwa wanzalisha kitu that's fine lakini hili swala la kumiliki kwa ajili ya vizazi vyao vijao na kuuza kwa wageni ni kutudhurumu haki yetu tuliopo sasa.

wamebakiza miaka minne ya kumiliki hizo ardhi mpaka sasa kama hatutafanya mapinduzi! Baada ya hYOi miaka minne wataturudishia ardhi zetu vizuri tu na tutaenda kuwapumzisha UKONGA...!

Ndio tatizo la wabunge wa "kupewa"! Yaani wewe unakuja humu kutueleza umefurahishwa na gwanda la mdee?

Ukombozi uko mbali na hawa kamwe hawawezi kuleta ukombozi!

Ndio tatizo lako la kufikiria kwa kutumia m*****o badala ya kichwa kwani haujaona alichosema acha kudandia hoja.

@Mtazamaji
ardhi haitumiki kuzalisha chakula au mifugo? - mostly chakula

hawakufuata na mamlaka husika haziufuata taratibu taraibu katika kumilikishwa hizo ardhi.?
-Process nzima inaghubikwa na utata na kuna dalili za rushwa. Wananchi walikataa kutoa kiasi kikubwa cha ardhi walichotaka (zaidi ya ekari laki moja kwa miaka 99) wakashauri wapewe kiasi kidogo, na pia kwa kuanzia wapewe kwa miaka 20 tu na kama wakifanya vizuri kulingana na terms za mkataba ndio waongezewe muda. Kinyume chake sasa, viongozi wachache (local authority guys) wakapelekwa marekani kwa siku kadhaa na waliporudi mkataba ukasainiwa, wanavijiji wamebaki wanaduwaa! Kituko kwenye huu mkataba uliosukwa huko Marekani kwa kila ekari moja hawa wawekezaji walipa kati ya Tshs 200 -500 tu kwa moja! Narudia, kati ya Tshs 200 - 500 kwa ekari kwa mwaka. Tanzania hii ni wapi unaweza kukodi ekari nzima kwa shilingi 200 au mitano au hata 1,000 kwa mwaka. Pia Miaka 99 ijayo shilllingi 500 itakuwa na thamani gani? Huu mkataba kama haujatoka kwa Chief Mangungo umetoka wapi?

Tatizo kubwa la Zimbabwe ni Landa (Ardhi). Sisi hapa tuna bahati kwamba baada ya uhuru ardhi hakichukuliwa kwa maelfu na maelfu ya ekari na watu wachache. Lakini kama hatukuwa makini hiki wanachokiita UWEKEZAJI na KILIMO KWANZA tutajikuta tumejijengea Zimbabwe. Na huko ndiko tunakoelekea sasa.

Kuna watu amabo hawakulipwa fidia.? - Kuna maeneo wananchi hawana sehemu za kulima au kuchunga mifugo yao kwa sababu mwekezaji kapewa. Kumbuka huyu mwekezaji kawakuta. Yuko mbunge mmoja katoa mfano bungeni kwamba wako wafugaji waliomba ardhi kwa ajili ya mifugo yao eneo fulani, serikali ikasema hakuna ardhi. Lakini baadae ametokeza Mu-Italiano akapewa ekari 3000 sehemu ile ile waliyoomba wafugaji. Na cha ajabu huyu mwekezaji kapewa eneo la mpakani kati ya Tanzania na Kenya. Na hili eneo ni sugu kwa watu wanaoingia nchini kinyume cha sharia kutoka nchi jirani, Kenya, Somalia &Ethiopia .

Nadhani kama Taifa, kuna haja kabisa ya kutoruhusu (kwa sheria)wageni kumiliki ardhi maeneo ya mipaka ya nchi. Ni kama tunakabidhi raia wa kigeni wachunge mipaka yetu!
Wamemilikishwa ardhi na wenyewe wanawakodisha wanakijiji? - Kuna kuzungukana, wanavijiji wanaachwa pembeni kwa kiasi kikubwa. Pia kuna 'vimemo' vinatoka juu kwa maana ya wizarani etc hivyo uongozi wa chini unakuwa na hofu ya kufanya vingenevyo.

Mimi sioni Tatizo kwa mkapa sumaye au ngwilizi umiliki ardhi kama walimilikishwa ihalali nawalifuata taratibu na sheria zote na wanaitumia ardhi kwa malengo yaliyokusudiwa - Nakubaliana na wewe kiasi lakini lazima uhakikishe wanavijiji wa mahala husika wana ardhi ya kutosha na wanahushwa katika mchakato wote. Kenya wana matatizo sana kwa sasa hivi kwa sababu hii hii ya watu wachache kumiliki ardhi ni wangi wamebakia kuwa manamba. Hata ukisoma report ya Kofi Annan aliyotoa wakati wa kusulughulisha mgogoro wa uchaguzi uliopita huko Kenya, anasema kabisa 'Long-term' solution ihusishe ardhi. Watu wapate ardhi!

FJM Aksate kwa maelezo mazuri. Sas

Inawezekana unayosema ni sahii lakini kuna kasumba mbaya ya watu kuwa na chuki tu sababu mkapa anamiliki ardhi kubwa. Nami sikubali kama kuna taratibu zimekiukwa lakini napenda sana hawa wabunge na viongzi wetu wawe na mashamba ya mfano hapa tanznaia badala ya visenti vyao kwenda kununua majumba newyork na london.

Mfano mimi swali langu kwa wabunge wote na mawaziri wote ninaloweza kuwaliza ni anazamilki ardhi kiasi gani na anazalisha kiasi gani kwenye hiyo ardhi . Itakuwa ajabu kwa mbunge wa rukwa mkoa unaooongoza kwa kilimo asiwe na shamba tena kubwa . Sasa atajuauje kero wanazopata wakulima. Yaani mbuge wa wakulima wa rukwa yeye anajenga majumba dar. No hiyo kwangu sio kipimo.

Binafsi napenda nione hawa viongozi wetu ambao wana mtaji na elimu ya kutosha wanakuwa na mashamba ya mifano ya kilmo kwanza . Lakini wafute taratibu.

But aksante sana wa maelezo ndivyo mleta mada alitakiwa kuainisha sio tu kuonyesha ushabiki . But mm kwa mtazamo wangu hawa viongozi wanatkiwa wawekeze sana kwenye kilimo.

Heko dada vijana wenzako tupo nyuma yako kukupa sapoti yakuikomboa nchi yetu peoples poweeeer!

Wengine mna matatizo sana. Mnaleta mambo ya msingi kwenye vitu vya muhimu sana. Magamba ni janga la kitaifa.

omba hotuba usome yote na uone matatizo yaliyoainishwa na suluhisho sio kudandia gari kwa mbele kusema watu wanapinga kila kitu

Sasa anyedandia gari kwa mbeli ni nani kati ya mimi na wewe Hizo lama za kuuliza hujui maana yake . mimi nimechangia kutok na thread ilivyo. kama wewe IQ ni k ubwa sana au umeshajitune upande fulani ubarikiwe . Tuko tofauti hatuwezi weote kuwa sawa

Nadhani haujui historia ya hii nchi. Mababu zetu walipigana vita kwa ajili ya ardhi hii, ambayo kwa kuwaenzi baba wa Taifa alikuwa makini sana katika umilikishaji holela wa ardhi. wewe unavyoona hakuna tatizo, Mgeni anakuja anamilki ardhi hector 1000, hapo hapo mwenyeji anaomba hekari 10 ananyimwa.

Mimi sioni tatizo sababu mleta mda hajaeleza k ama rdhi hiyo ailikuwa eneo la wazi ambalo halitumki kuzalisha > Kama wewe una data na ziweke. mimi sichangii kishabiki tu. Ndio maana nimewekamswali nikamalizia kwa mtazamo.

Sijui kama una data ni % ngapi ya arable land Tanzania ambyo haitumiki. ?. NImendka ama natartibu hazikufuatwa sawa lakini mada imekaa kupinga pinga tu bila kuwa hoja. SAsasa wewe kutokan na mada ilivyo mtu anakubali tu au anapinga. Kwa vigezo gani?

FJM kaeleza nimempata lakini Nachosema mimi k ila mbunge au wazri anatakiwa kuwa na ekari japo 500 za ardhi.

Ahsante sana Dada Regia,
Hao jamaa siku zote mi naamini ni kichaka cha wezi tu.
Weusi wenzetu wamekuwa madalali wa kuuza ardhi yetu Marekani.
Mahali watakapo ishi hao MaLandLord iko nayo wameshapewa tayari ni KIGAMBONI.
Ila mi nitakutafuta, nakufahamu vizuri na tumewahi kuonana sana tu ktk harakati za ukombozi wa Nchi yetu.
Wanakotupeleka hawa jamaa ni siyo, wanaona wana haki ya kuhukumu hata vizazi ambavyo havijazaliwa.
Huu ni uzezeta na upuuuuzi wa kupenda urafi.

Ndio tatizo lako la kufikiria kwa kutumia m*****o badala ya kichwa kwani haujaona alichosema acha kudandia hoja.
Sina muda wa kutukanana na vitoto ...........ila wewe unaonyesha akili zako si sawa. Regia heading yake inasomeka " Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake" Unafikri ujumbe gani anataka kuwasilisha hapa?

Hilo la ardhi ilikuwa sio main issue kwenye thread yake! Muna kiharibu chama chenu kwa akili za kitoto-toto!

Mfano mimi swali langu kwa wabunge wote na mawaziri wote ninaloweza kuwaliza ni anazamilki ardhi kiasi gani na anazalisha kiasi gani kwenye hiyo ardhi .

Binafsi napenda nione hawa viongozi wetu ambao wana mtaji na elimu ya kutosha wanakuwa na mashamba ya mifano ya kilmo kwanza . Lakini wafute taratibu.
kwenye nyekundu nimepatashida kukuelewa lakini kama ulikuwa unaimanisha anamiliki basi tuko pamoja.....lakini niongezee tu anamiliki kwa muda gani?.. Tanzania bado kuna maeneo unapata heka kwa 10,000 sasa kama watanzania watatumia mwanya huu wakajilimbikizia aridhi kubwa madhara yake hatuwezi kuyaona leo mtifuano watauona watoto/wajukuu zetu...

I vote for Halima last october election,Go dudete Halima. nimekutana leo babake Profesa James Mdee( OUT KILIMANJARO )tukachat kidogo!

Back
Top Bottom