Elections 2010 Halima Mdee--Madale Ni Aje?

Hivi imekuaje tena Mdee akaenda kugombea kwenye jimbo la Ubungo kwa Kamanda Mnyika??? Huyu Suleman hajui anachokisema kwa sababu Madale iko jimbo la Ubungo!!!!

Wamekamatika kila kona, mwaka huu hatudanganyiki!!!!!

Mkuu, Madale iko jimbo la Kawe.
 
Halima Mdee, kama upo hapa, tafadhali fahamisha kama unahitaji volunteer workers for your campaign.
Nitumie private message.
 
Hiyo tuhuma ni nzito sana!ingekuwa vizuri ungeproduce concrete evidence to support your allegations.If you have no concrete evidence ,this is nonesense,and it doesn't hold much water!shame upon you!
 
wana chadema wanajifanya wako pure sana. Pretending to be the ushers of new dawn of transparency and utawala bora (although they can't even balance budget ya chama).

Sasa muulizeni dada yenu halima mdee, kufanya mikutano ya siri usiku huko madale, na kumuhonga (kutoa rushwa) kwa mwenyekiti wa mtaa wa ccm ili ampigie debe. And then akatuma vijana wake wakamdunde baada ya kuona kachakachuliwa.

Obviously sina uwezo wa kuweka evidence humu ndani, lakini muulizeni yule ms. Mdee atawaeleza ukweli.

I'm just saying, halafu mnapata audacity ya kupiga makelele kuhusu rushwa. Look, ya'all can't win--not because ccm ni chama makini, its because you are not serious. Simplifying our problems, and offering populist ideas ili mshinde uraisi ndio maana wabongo wanawakataa.

By the way--hai, moshi mjini, na kwa zitto kabwe. Patachimbika huko. Its not as easy kama wadau wanaoishi maisha ya kwenye internet wanavyofikiri.

Kichefuchefu kingine. Mbona hujampeleka TAKUKURU? Hujui ni ya ccm? Unataka sisi tukusaidie nini?
 
Back
Top Bottom