Kuna kongamano la chadema bukoba.mh.Mdee ni mchokoza mada mkuu.pamoja na mambo mengine ataongelea na kufafanua msimamo wa chadema kuhusu mswaada wa katiba.tuko live radio vision.
Asante kutujuza lakini naona kuna mapungufu katika taarifa yako,maana hujatuambia kuna kongamano linahusu nini,yaani nini lengo la kuaandaa kongamano hilo,maana pamoja na mambo mengine atazungumzia msimamo wa chadema kuhusu mswaada wa katiba.na wengine hatuko bukoba please tuhabarishe kamanda kulikoni huko?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.