Halima Mdee: Bold and Beautiful!

Mkuu umenena wazi na kweli kabisa. Wapinzani hapa ndipo wanapoudhi wapiga kura. Kwanza kila mpinzani ni lazima atizame maeneo ambayo comperative advantage kwa chama chake ipo. Kwa mantiki hii kama chama pinzani kina political comperative advantage jimbo fulani basi wakiachie ili kipambane na mmbadala wake ambao kwa sasa ni CCM. Kwa kawe ninaona Halima anafaa kuliko Mbatia hivyo Mbatia angemwacha Halima apambane na huyo msanii wa CCM na lazima angedondoka tu. Hata hivyo, bado mapema na Mbatia anaweza shauriwa ajitoe kwa sasa na kutangaza wafuasi wake wampe Halima. Kiukweli kama watabaki vijana hawa jua kabisa jimbo litachukuliwa na CCM. Upinzani ukitaka kufanikiwa ni lazima wakubali kufanya maamuzi magumu. Hii pia hata kwa wagombea urais sikuona mantiki ya kutoamua kumwachia yule ambaye tayari watu wana Imani naye na badala yake mnaweka wagombea ambao hata hawajawahi kusikika katika redio mbao na wengine ni wale wale ambao walishajaribu awamu zilizopita na kushindwa vibaya.



Lile jimbo la CCM, na wamemwaga posters kila kona, kila mti mpaka kwenye mitaro ya maji machafu. Halima hawezi kushinda.


Mkuu mabango si hoja!! Hata kule Marekani kwa Obama unataka kuniambia kuwa Republican hawakuwa na mabango au strategy?? Walishindwa pia!! Halafu nikuulize kama kweli huyo mgombea wenu anajiamini mbona anatumia nguvu kubwa sana kuomba hizo kura??Kama alifanya mambo mazuri si asubiri kura? Chema chajiuza kibaya chajitembeza!! Yaani anatumia nguvu kubwa na hela za walipa kodi kuwatuma mke na mtoto watangulie kupeleka bakuli la kuomba kura?? Subiri matokeo mkuu, tarehe 31 Oktoba si mbali.
 
Mkuu umenena wazi na kweli kabisa. Wapinzani hapa ndipo wanapoudhi wapiga kura. Kwanza kila mpinzani ni lazima atizame maeneo ambayo comperative advantage kwa chama chake ipo. Kwa mantiki hii kama chama pinzani kina political comperative advantage jimbo fulani basi wakiachie ili kipambane na mmbadala wake ambao kwa sasa ni CCM. Kwa kawe ninaona Halima anafaa kuliko Mbatia hivyo Mbatia angemwacha Halima apambane na huyo msanii wa CCM na lazima angedondoka tu. Hata hivyo, bado mapema na Mbatia anaweza shauriwa ajitoe kwa sasa na kutangaza wafuasi wake wampe Halima. Kiukweli kama watabaki vijana hawa jua kabisa jimbo litachukuliwa na CCM. Upinzani ukitaka kufanikiwa ni lazima wakubali kufanya maamuzi magumu. Hii pia hata kwa wagombea urais sikuona mantiki ya kutoamua kumwachia yule ambaye tayari watu wana Imani naye na badala yake mnaweka wagombea ambao hata hawajawahi kusikika katika redio mbao na wengine ni wale wale ambao walishajaribu awamu zilizopita na kushindwa vibaya.


Good Idea... Mbatia please kama utasoma hii msg nakuomba mkae na Halima mkubaliane kuachiana hilo jimbo ili mradi CCM wapigwe chini. Otherwise mnakatisha tamaa wananchi...
 
[COLOR=red said:
Kanyafu Nkanwa;[/COLOR]1100715]katika wapinzani wenye akili,, huyu pia namkubali, yaani kama nilivyokuwa namkubali Slaa alipokuwa Mbunge.


Kanyafu Bwana!
Nahisi umekafikiria kalivyo hasa nikiangalia kasura kake , he.....udenda tu
Umenikumbusha vile viembe fulani kule kwa Mwakyembe!
 

 Halima James Mdee
alizaliwa Machi 18, 1978 katika Kijiji cha Makanya, Wilaya ya Moshi Vijijini, ni mtoto wa mwisho katika familia ya Profesa James Mdee ambaye alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na mama yake alikuwa mwalimu wa shule ya chekechekea.
Alianza kusoma elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaam mwaka 1985 na kuhitimu mwaka 1991. Alichaguliwa kujiunga na Shule ya Sekondari ya Wasichana Zanaki mwaka 1992 na kuhitimu kidato cha nne mwaka 1995.

{Pichani Kamanda Halima Mdee akichukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kawe}
Mwaka 1996 hadi 1998 alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Kilakala mkoani Morogoro na 1999 alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambako alisomea sheria na kuhitimu mwaka 2003.
Aliajiriwa na Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana mwaka 2004 akiwa Ofisa Maendeleo kama mwanasheria mpaka mwaka 2005 alipoamua kuacha kazi na kuingia katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu, ambako alishiriki kuwapigia kampeni wagombea wa CHADEMA kabla ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu.
Mdee alizaliwa katika familia ya Wakristo na alibatizwa na kuitwa Theodosia, hata hivyo anatumia zaidi jina alilorithi kutoka kwa bibi yake mzaa baba, Halima.
Ukoo wake ni waumini wa dini ya Kiislamu isipokuwa baba yake na kaka yake ambao walibatizwa na familia yao ikaridhia wawe Wakatoliki kama shukurani kwa kanisa kutokana na msaada mkubwa lilitoa kwa familia hiyo ambao Mdee alikataa kuueleza.
Mbali na ubunge, pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa la CHADEMA, na ofisa katika kurugenzi ya sheria.
 
the rare times when beauty and brains are found in the same place.she was always very composed toka anasoma sekondari.si mtu wa kukurupuka hata kidogo!go gal,pamoja sanaaaa
 
Since hatuwezi kumuongelea mtu mke bila kutaka kumuoa na basically kutaka kumpigia puli waziwazi. I will reluctantly say my piece.

She looks like a dyke, of course nothing wrong with that for me if that's what she is and wants. I am more like "Amefanya nini bungeni ?"


Kirangaaaaa!
 
HalimaMdee.jpg

Namuita iron lady!!! huyu mheshimiwa anayemaliza muda wake kama mbuge wa kuteuliwa, sasa anagombea kupitia chadema kwenye jimbo ambalo yule anayemalizia kaamua kulikimbia (kwa kumwogopa halima???) na kugombea kupitia nafasi ya NGOs.
3.jpg

kihistoria ametoka kwenye familia ya ccm lakini akaamua kutoka kivyake; akiweka 'historia' kisogoni (kwanini asiitwe bold/iron lady?)
halima+mdee.jpg
11311.png
12-mdee.jpg

akiwa mjengoni amefanikiwa kutoa mchango wa mawazo kwa ujasiri wa hali ya juu kiasi cha kufikia kukwaruzana na kigogo wa ccm ambaye aliamua kumpeleka 'nusu-mahakama' (kwa 6) lakini kwa ujasiri wake mhe. mdee (as she then was), ilibidi mzee wa bumbuli alazimike ku 'drop charges'



my take:
huyu mdada anafaa kupewa nafasi ya ubunge katika jimbo la uchaguzi la kawe; she is bold and yet beautiful!!!
(huo mtazamo wangu tu usijali sana!!!)

Kuna wakati alitoka vinundu vingi usoni shida ilikuwa nini?
 
Mzuri! hana sura ya uongozi Ameka ki bongo Flava zaidi kama SUGU ! namshauri ASUBIRI KWANZA MUDA WAKE UTAFIKA

Wewe Wasema,
LAKINI MIMI NITAMPA KURA maana katika kuchagua mwakili siangalii chama ila naangali mwenye uwezo katika wale wanaogombea, hivyo kwa wagombea wa kawe wote, mimi naona yeye ni Bora
 
halima mdee akiwa kazini wakati wa kampeni zinazoendelea sasa(picha kwa hisani ya ippmedia).
mdee1.jpg
 
She is an Angel, kanyimwa sauti tu..ila kwa CHADEMA aaaahhhhh, mie nampenda
 
Back
Top Bottom