Halima Mdee: Bold and Beautiful!

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
HalimaMdee.jpg

Namuita iron lady!!! huyu mheshimiwa anayemaliza muda wake kama mbuge wa kuteuliwa, sasa anagombea kupitia chadema kwenye jimbo ambalo yule anayemalizia kaamua kulikimbia (kwa kumwogopa halima???) na kugombea kupitia nafasi ya NGOs.
3.jpg

kihistoria ametoka kwenye familia ya ccm lakini akaamua kutoka kivyake; akiweka 'historia' kisogoni (kwanini asiitwe bold/iron lady?)
halima+mdee.jpg
11311.png
12-mdee.jpg

akiwa mjengoni amefanikiwa kutoa mchango wa mawazo kwa ujasiri wa hali ya juu kiasi cha kufikia kukwaruzana na kigogo wa ccm ambaye aliamua kumpeleka 'nusu-mahakama' (kwa 6) lakini kwa ujasiri wake mhe. mdee (as she then was), ilibidi mzee wa bumbuli alazimike ku 'drop charges'

my take:
huyu mdada anafaa kupewa nafasi ya ubunge katika jimbo la uchaguzi la kawe; she is bold and yet beautiful!!!
(huo mtazamo wangu tu usijali sana!!!)

05-novemba-2010: feed back

Hatimaye mpaka leo hii, halima mdee ni mbunge mteule wa jimbo la kawe.

hii mada inaweza kufungua a can of worms hasa kwenye kipindi hiki cha uchaguzi maana imekaa ki-personal zaidi

haya bana
 
Kwa michango yake aliyotoa kuchangia hoja mbalimbali bungeni she deserve to MP for Kawe
 
Namkubali Halima Mdee hivi ameshaolewa ?.Kama bado naomba mwenye kujua namba yake ya simu / email yake.Ningekuwa naishi Kawe hakika ningempa kura yangu michango yake pale mjengoni ilikuwa ikilenga zaidi maslahi ya Tanzania.Wapiga kura wa Kawe tafadhali mtusaidie Mdee arudi mjengoni.

Ilove the girl(politically)!...wanaoulizia kuolewa sielewi wanataka kitu gani, au wamekumbushwa na mleta mada juu ya uwepo wake!...huh!
 
Huyu binti jinsi alivyowaumbua Makamba na Londa kule bungeni, anafaa kwa kila kigezo kuwa mbunge wangu wa Kawe na kura yangu kisha ipata!!
 
HalimaMdee.jpg

Namuita iron lady!!! huyu mheshimiwa anayemaliza muda wake kama mbuge wa kuteuliwa, sasa anagombea kupitia chadema kwenye jimbo ambalo yule anayemalizia kaamua kulikimbia (kwa kumwogopa halima???) na kugombea kupitia nafasi ya NGOs.
3.jpg

kihistoria ametoka kwenye familia ya ccm lakini akaamua kutoka kivyake; akiweka 'historia' kisogoni (kwanini asiitwe bold/iron lady?)
halima+mdee.jpg
11311.png
12-mdee.jpg

akiwa mjengoni amefanikiwa kutoa mchango wa mawazo kwa ujasiri wa hali ya juu kiasi cha kufikia kukwaruzana na kigogo wa ccm ambaye aliamua kumpeleka 'nusu-mahakama' (kwa 6) lakini kwa ujasiri wake mhe. mdee (as she then was), ilibidi mzee wa bumbuli alazimike ku 'drop charges'

my take:
huyu mdada anafaa kupewa nafasi ya ubunge katika jimbo la uchaguzi la kawe; she is bold and yet beautiful!!!
(huo mtazamo wangu tu usijali sana!!!)

Du, nadhani ni mke mtu lakini!
 
Yes she can, she has shown ability to handle matters and prent issues in parliament.
Give her your vote
 
Mpeni tu jimbo huyu dada aendeleze ya msingi. not only is she bold and beautiful but also gorgeous!
 
She deserves the win!!! I love her so much, ni mpiganaji hasa, nampenda, nampenda, nampenda. najua utashinda!!! all the best cute...
 
Namkubali Halima Mdee hivi ameshaolewa ?.Kama bado naomba mwenye kujua namba yake ya simu / email yake.Ningekuwa naishi Kawe hakika ningempa kura yangu michango yake pale mjengoni ilikuwa ikilenga zaidi maslahi ya Tanzania.Wapiga kura wa Kawe tafadhali mtusaidie Mdee arudi mjengoni.

Wewe unafikiri alikwenda mjengoni hivi hivi. Yaani wampe viti maalamu na chadema bila kufanya mutual benefit!!!!!!!!
Expaaaaand your horizoooooooon.
 
Mumeanza mjadala wa Halima Mdee vizuri sasa akina Mtu wa Pwani wanaleta ujinga wao. Wanavunjia watu heshima hata wale wanaojiheshimu.

Kuna siku hapa atashitakiwa mtu kwa niaba ya Jamii forum.
 
Back
Top Bottom