Halima Mdee amjia juu mwenyekiti na kubishana naye: Live Bungeni jioni

Bunge linastahili kuongozwa na mtu mwenye weledi wa sheria,kanuni na ukomavu wa hali ya juu kisiasa vinginevyo itakuwa ni malalamiko na vurugu tu
 
Nimesikitiswa sana na kitendo alichokifanya mwenyekiti wa kamati ya bunge katika kikao cha bunge jioni hii, posho...posho...posho jamani posho itatuua mwaka huu, kweli umasikini unaletwa na ccm jamani! Ninachokiona mie muda si mrefu kama tabia hii ya ubaguzi itaendelea taifa hili litapasuka na litagawanyika. Hivi katika ccm na serikali hakuna mwenye akili anayeweza kujua kuwa wananchi wanapinga posho na amalize mjadala huu?....jambo hili linapandisha umaarufu wa chadema siku baada ya siku. Hivi ccm mna shida gani? Si mwende mkaombewe basi!...njoo ufanyiwe maombi X2 ccm ukiombewa tatizo lako ni dogo X2
 
Bunge linastahili kuongozwa na mtu mwenye weledi wa sheria,kanuni na ukomavu wa hali ya juu kisiasa vinginevyo itakuwa ni malalamiko na vurugu tu
kweli. Lakini waache kutuchanganya hawa magamba. Wanadhani bado ni bunge la enzi za TANU ''We want ze fire in the botro''(umeme). Bunge la sasa ni la kumalizana papo kwa papo, Yanaisha
 
wape sure make ccm wapo kwa ajili ya posho bungeni na kufikilia chipsi kavu za dodoma hotel
 
lazima spika na wenyeviti waelezwe ukweli wasitake kuligeuza bunge kama taasisi binafsi ya chama.
 
Mdee alitaka mbunge wa CCM athibitishe madai gani, na kwa nini inaonekana ruling ya Mwenyekiti ni upendeleo kwa CCM?

Naomba kusaidiwa details.


 
mi namjua mtoto wake ndo anaitwa mohamedy B. Makani a.k.a Meddy Makani
 
..Mohamed Rishard alijulikana zaidi kama Adolf Rishard.

..Salum Mwinyimkuu alijulikana zaidi kama Carlos Mwinyimkuu.

..Balozi Abdul Mtiro anajulikana zaidi kama Cisco Mtiro.
 
..labda humfahamu vizuri.

..sasa ndiyo tunakufahamisha anaitwa MOHAMED "Bob" MAKANI.
 
Back
Top Bottom